GE2025 Glory Tausi apita nyumba kwa nyumba, biashara kwa biashara kuzitafuta kura jimbo la Kawe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kura zinatafutwa haswa jamani!
====================
Mgombea ubunge wa Kawe kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Glory Shayo ameendelea na kampeni zake za nyumba kwa nyumba akiwa na wagombea udiwani wa kata za Kunduchi, Kawe, Bunju na Mbezi Juu.

Shayo na timu yake leo Jumamosi Septemba 20, 2025 wamekutana na wafanyabiashara wa eneo la Tegeta Kwa Ndevu, kabla ya kuendelea na mikutano midogo ya kuomba kura katika Mtaa wa Tegeta, Kata ya Kunduchi kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

 
Wasije tu wakamteka, maana wakiona wanazidiwa nguvu solution yao ni kuteka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…