The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Lissu Mungu akuweke hai Muda mrefu umetusaidia kujua matapeli wa kisiasa.Kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Edwin Odemba Mwanachama wa zamani wa CHADEMA, na Mmoja wa kundi la G 55 kwa wakati huo, ambaye kwa sasa ni Mgombea Ubunge jimbo la Kawe kupitia Act Wazalendo Glory Tausi amesema G 55 walitoa mawazo yetu mazuri kwa Chadema ya namna ya kuendea No reforms, No Election, lakini mawazo hayo yalipuuzwa
Wakina mwalimu, mrema, yericko, devotha minja, kigaila na wengine wengi wako Chaumma wanagombea, mnaweza kuwapigia kura na kuwachagua huko wawaongoze.Kiukweli lisu ni mbinafsi kaiangalia nafasi yake moja tu ya Urais bila kujali maslahi mapana ya siasa za upinzani na chadema Tanzania
Ushauri akautoe ACT bado ana hiyo nafasiKiukweli lisu ni mbinafsi kaiangalia nafasi yake moja tu ya Urais bila kujali maslahi mapana ya siasa za upinzani na chadema Tanzania
Sasa wao hawako Chadema, wameshaondoka lakini sera au hoja zao lazima wahusishe Chadema ambao uchaguzi hawashiriki.Kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Edwin Odemba Mwanachama wa zamani wa CHADEMA, na Mmoja wa kundi la G 55 kwa wakati huo, ambaye kwa sasa ni Mgombea Ubunge jimbo la Kawe kupitia Act Wazalendo Glory Tausi amesema G 55 walitoa mawazo yetu mazuri kwa Chadema ya namna ya kuendea No reforms, No Election, lakini mawazo hayo yalipuuzwa
Sasa ubunge kwa tume ipi? Subiri uone kama ACT wataambulia chochote!! Mgombea wao alishaenguliwa alafu sasa kuna tume hapo?Kiukweli lisu ni mbinafsi kaiangalia nafasi yake moja tu ya Urais bila kujali maslahi mapana ya siasa za upinzani na chadema Tanzania
Bila shaka unatumia Makalio kufikiriaKiukweli Lisu ni mbinafsi kaiangalia nafasi yake moja tu ya Urais bila kujali maslahi mapana ya siasa za upinzani na Chadema Tanzania
Kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Edwin Odemba Mwanachama wa zamani wa CHADEMA, na Mmoja wa kundi la G 55 kwa wakati huo, ambaye kwa sasa ni Mgombea Ubunge jimbo la Kawe kupitia Act Wazalendo Glory Tausi amesema G 55 walitoa mawazo yetu mazuri kwa Chadema ya namna ya kuendea No reforms, No Election, lakini mawazo hayo yalipuuzwa
Unaweza kuingia kwenye pambano ambalo unajua huwezi kushinda?Kiukweli Lisu ni mbinafsi kaiangalia nafasi yake moja tu ya Urais bila kujali maslahi mapana ya siasa za upinzani na Chadema Tanzania
Malaya wakubwa hawaKupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Edwin Odemba Mwanachama wa zamani wa CHADEMA, na Mmoja wa kundi la G 55 kwa wakati huo, ambaye kwa sasa ni Mgombea Ubunge jimbo la Kawe kupitia Act Wazalendo Glory Tausi amesema G 55 walitoa mawazo yetu mazuri kwa Chadema ya namna ya kuendea No reforms, No Election, lakini mawazo hayo yalipuuzwa