Wanajamii ni hivi juzi nilibahatika kuongea na mtaalam mmoja.Tukiwa katika mazungumuzo tuligusia matumizi ya dawa za kuongeza nguvu.Alinihakikishia kuwa dawa za kununua za kuongezea nguvu zina madhara makubwa huko mbele ya safari.Aliweza kugusia matumizi ya glucose na maji kuwa ni bora zaidi.Kama mtafiti nilifanya majaribio,nilichokigundua hasikwambie mtu,perfomance yake ni ya hali ya juu.Sambamba na hilo maji mengi ni muhimu ukanywa nusu saa kabla ya pambano.Tusisahau kutuliza mawazo wakati wa tendo.
Jamani, hizi spana mkononi hadi lini???
Bora yangu nikipiga kitu ubombo, wife lazima afurahi
Wanajamii ni hivi juzi nilibahatika kuongea na mtaalam mmoja.Tukiwa katika mazungumuzo tuligusia matumizi ya dawa za kuongeza nguvu.Alinihakikishia kuwa dawa za kununua za kuongezea nguvu zina madhara makubwa huko mbele ya safari.Aliweza kugusia matumizi ya glucose na maji kuwa ni bora zaidi.Kama mtafiti nilifanya majaribio,nilichokigundua hasikwambie mtu,perfomance yake ni ya hali ya juu.Sambamba na hilo maji mengi ni muhimu ukanywa nusu saa kabla ya pambano.Tusisahau kutuliza mawazo wakati wa tendo.
Hapo lazima utakuwa umetengeneza sumu kali!.Mchanganyiko huu unamtoa kizazi mkeo-pweza nusu kg,ngisi nusu kg,karanga,majani ya chai ya tangawizi,maziwa fresh nusu ltr,tangawizi saga robo kilo,chemsha hadi viive then weka asali mbichi nusu lita koroga na unywe asbh na jioni kwa siku tatu utakuwa imara kama simba mawindoni tahadhari ni kwa waliooa tu na c wazinzi!
Pia kuna dawa nyingine nzuri tu ambayo ni mahsusi kwa kuwakomoa wanawake wanaojidai wamekubuhu kwenye game: Vuta bhangi ya kutosha halafu baada ya nusu saa kula viagra. Ikipita tena nusu saa ingia kwenye game, kama hataua basi utasababisha dhahma kubwa.
sumu wapi wewe hakuna kemikali hapo hivyo vyote ni vyakula vya asiliHapo lazima utakuwa umetengeneza sumu kali!.
Babu huyo anaibiwa x2
Bishanga na Asprin njooni muone siamini macho yangu
vitu vingine chunia basi.
Hadi watoto wasikie, ulimi uliteleza tu