glucose ni dawa tosha ya tendo la NDOA.

mbona mwataka fanya hii ishu tatizo la Taifa.. tutangaze Janga Basi. kila kukicha..!!??
 
Jamani, hizi spana mkononi hadi lini???
Bora yangu nikipiga kitu ubombo, wife lazima afurahi

kongosho!wewe una jinsia mbili enhe!?nimekuona mara kadhaa ukiandika ktk jinsia mbili tofauti!muda mwingi unaandika kama mwanamke na sometimes kama mwanaume!i guess ur shemale!ukiwa ktk keyboard na ubombo ukasimama unajisahau unaandika kama mwanaume enhe?nauliza tu
 
mmmmmmmh, mnataka kuniangamiza jamani.
Sichezi rafu kwenye koloni la mtu mie

 

Jesus Christ...................................
 
Siku hizi kila mtu dr hata kikwete ni dr. Kila mmoja anakuja na dozi yake. Dr kikwete anadozi ya safari za nje ya nchi
 

Si umesh jaribu glucose? sasa nenda kajaribu bamia changa.

Robo kilo bamia changa,unatafuna mbichi na kumeza kidogo kidogo, unaanza masaa mawili kabla ya game. Jaribu uje eleza JF.


Nyie na wengine wenye akili mbovu kama zenu...kwani mkiwafanya sana wake zenu mpaka kuwaumiza na badala ya kuwa starehe inakuwa karaha mnaona sifa saaaaaaanaaaaa eeeeee??? na mlaaniwe kwa kuwa mnadhimiria kuwaumiza wenza wenu au kuwapotosha wengine wawaumize wenza wao in the name of kufanya muda mrefu kupita kawaida na kwa kutumia nguvu nyingi ili kumkomoa mwingine.........what a disgrace.....am outta here
 
sumu wapi wewe hakuna kemikali hapo hivyo vyote ni vyakula vya asili

We poyoyo sana eti sumu haya endelea kula tembe(viagra) upone

Kwani kwako kemikali ni nini?

Sumu haitengenezwi kwa elements za ajabu, hata mboga za majani na ndizi vikiliwa kwa pamoja ni sumu mwilini. Hatujui kwa kuwa haina ukali wenye kudhuru kwa mara moja.

Hakuna ulazima wa kumshambulia mtu kwa kuwa tu ana mawazo tofauti na yako, unless you are joking or xy'*xÅ like your ..........
 

ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…