Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Glyceline ipi unayouliziaWakuu naomba kujua faida na hasara za Glycerine kwenye ngozi!
Haa Atoe MaelezoGlyceline ipi unayoulizia
Zambia glyceline? Day by day glyceline? Tanzania glyceline? au South Africa glyceline?
Funguka nikufungukie.
Kwamba ukiweka na ka picha ka ngozi, ndipo tutakuamini?Mm ninavyojuw hiyo kitu imetengenezwa kwa chemical hata unapoiweka kiganjani nakusuguwa huleta joto na pia hupelekea moto kuwaka endapo ukiisogeza kwenye chanzo cha moto. [emoji843]Hii chemical unapoipaka juu ya ngozi yako huingia ndani ya sweat glands na kuharibu mfumo mzima wa ngozi yako jinsi inavyo pambana to regulate body temperature ili kuendana na hali ya mazingira husika.
[emoji843]Pia huathiri afya ya nywele/vinyweleo vya mwili wako.
In short sio nzuri kwa matumizi ya moja kwa moja, ukiangalia vizur mafuta unayojipaka yameisha changanywa na glycerin katka kiwango sahihi kutoka kiwandani hivyo usipende sana kutumia hii kitu mkuu[emoji124][emoji124] ngoja niwafate watalamu wa hizi mambo wakufafanulie zaidi.
View attachment 2492548
🤔🤔🙄Kwamba ukiweka na ka picha ka ngozi, ndipo tutakuamini?
Kwani zina tofauti bro maana tumezoea yoyote twendeGlyceline ipi unayoulizia
Zambia glyceline? Day by day glyceline? Tanzania glyceline? au South Africa glyceline?
Funguka nikufungukie.
Simeone KakimbiaKwani zina tofauti bro maana tumezoea yoyote twende
Masaada kutufafanulia
acha kutisha watuMm ninavyojuw hiyo kitu imetengenezwa kwa chemical hata unapoiweka kiganjani nakusuguwa huleta joto na pia hupelekea moto kuwaka endapo ukiisogeza kwenye chanzo cha moto. [emoji843]Hii chemical unapoipaka juu ya ngozi yako huingia ndani ya sweat glands na kuharibu mfumo mzima wa ngozi yako jinsi inavyo pambana to regulate body temperature ili kuendana na hali ya mazingira husika.
[emoji843]Pia huathiri afya ya nywele/vinyweleo vya mwili wako.
In short sio nzuri kwa matumizi ya moja kwa moja, ukiangalia vizur mafuta unayojipaka yameisha changanywa na glycerin katka kiwango sahihi kutoka kiwandani hivyo usipende sana kutumia hii kitu mkuu[emoji124][emoji124] ngoja niwafate watalamu wa hizi mambo wakufafanulie zaidi.
View attachment 2492548
Mm ninavyojuw hiyo kitu imetengenezwa kwa chemical hata unapoiweka kiganjani nakusuguwa huleta joto na pia hupelekea moto kuwaka endapo ukiisogeza kwenye chanzo cha moto. [emoji843]Hii chemical unapoipaka juu ya ngozi yako huingia ndani ya sweat glands na kuharibu mfumo mzima wa ngozi yako jinsi inavyo pambana to regulate body temperature ili kuendana na hali ya mazingira husika.