Wimbo gan huo? wako nnAlamsiki
Waya sio wimbo wa kitoto kama mnavodhani...Atarii... G nako hajawah niangusha katika hili inshort hii ngoma Kali kuliKo ile ya ndugu yake Joh_WAYA
Waya sio wimbo wa kitoto kama mnavodhani...
huu wimbo wa golow haueleweki wa south africa sio wasauzi ,yani hawaeleweki....
wapunguze kuiga iga....
wimbo haueleweki..