Gnako umeua kwenye kiitikio cha quality time

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
4,318
Reaction score
4,105
Hajawahi kukosea huyu jamaa kwny viitikio yaan bora hata aacha kutoa nyimbo nzima aimbage tu viitikio...ckiliza wimbo mpya alioshirikiswa na Nikki wa pili unaitwa quality time
 
Quality time ni nzuri ila Jamaa nick wa pili huwa anafeli video!
Angalia sweet mangi bonge la ngoma video chenga!
Gnako amefanya poa sana ingawa Jamaa hata kwenye verse yuko njema kama ile ngoma yake ya Arosto nilimuelewa kinoma, ile chorus sijui aliimba nani!
 

Mi nilimuelewa katika ngoma ya WAWIWOOO
 
sijui kwanini hii nyimbo ya Quality time naiona sio.
Ni wimbo mbovu sana ni chorus tuu ndio nzuri lakini Niki 11 hakuna alichoimba laki nimegundua watangazaji kuna baadhi ya wasanii wana waogopa kuwambia ukweli hasa huyo Niki...
Wimbo mbaya sana.....
 
Waaaackk song.....alafu Nick anauchungu na watoto wa kishua walikufanyaga nini...

.
 

Arosto ile Chorus ameimba Chin Bees pia amefanya chorus ya sweet Mangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…