Chadema hata viongozi wote wasiweo si ya kufa kama CUF na NCCR hiki chams ni nguzo ya wananchi wote kwa sasa Wabaya wao wasome majiraWananchi wanajitambua kwa sasa ulisema ukombozi wa kifikra ni muhimu kuliko katiba mpya? Tokea hapo nilikupuuza watu wameshakufa October 29 alafu unasema wananchi wanahitaji ukombozi wa kifikra watu kutoka majumbani na kwenda kupiga serikali kuhusu utekaji wakina Ally Kibao na wakina Polepole tume huru unasema wanahitaji kukombolewa kifikra au wanahitaji viongozi jasiri kwenye fikra walishatoka.
Lema unahitaji chadema kuliko Chadema inavyokuhitaji nje chadema kama unataka kufa kisiasa kama mwenzio Zitto alishindwa mpaka Baba levo fanya nje ya Chadema huna fun base yoyote wewe sio Lissu huyu hata kwa sasa akiwa nje ya Chadema huyu ameshawini wananchi wengi kutokana na Misimamo yake wewe si chochote utaishia kua kama Mbowe
Nje ya CHADEMA anakua yerickoWananchi wanajitambua kwa sasa ulisema ukombozi wa kifikra ni muhimu kuliko katiba mpya? Tokea hapo nilikupuuza watu wameshakufa October 29 alafu unasema wananchi wanahitaji ukombozi wa kifikra watu kutoka majumbani na kwenda kupiga serikali kuhusu utekaji wakina Ally Kibao na wakina Polepole tume huru unasema wanahitaji kukombolewa kifikra au wanahitaji viongozi jasiri kwenye fikra walishatoka.