God existed before time and He created time

Kwanii iwe tatizo ni la msomaji na si kinachosomwa?

Ni wakati gani kinachosomwa kinakuwa na mkosa na wakati gani msomaji ndiye anakuwa na makosa?
1. Kama umesoma jambo , kisha ukaja na tafsiri zako, wajuvi wa lile jambo wanapokupa tafsiri sahihi halafu wewe unaleta ubishi , hilo ni tatizo la msomaji
2. Kinachosomwa kinakuwa na makosa ya uchapishaji na msomaji anakuwa na makosa pale an apoleta ubishi kwenye mambo asiyo na elimu nayo kamilifu
 
Mleta mada umenivuruga kidogo. Mimi naamini kuwa Mungu yupo, lakini unaposema alikuwepo kabla ya muda na yeye ndiye aliyetengeneza muda, ni vipi tukio la yeye kuwepo litokee nje ya muda. Hebu nifafanulie hapo.
Nadhan alikua anaelezea concept ya kwamba : muumbaji hawezi kuathiriwa na alichokiumba...If Allah created Time, then he cant be affected by it. If Allah created Space (the universe) He cant be affected by it.
Immediate example ni kwamba alieitengeneza radio/computer cyo lazima awepo ndani ya kompyuta au redio ili redio/kompyuta ifanye kazi
 
Labda, ila mimi sikubaliani na hilo kwa sababu muda ndiyo chombo kinachotofautisha umbali wa kutoka tukio moja kwenda lingine na katika misingi hiyo tukio lolote linalotokea kabla ya muda ni sawa tukio halikuwepo kabisa.
 
Unaelewa kwamba ukiandika kwa kutumia alphabet umetumia logic ya alphabet?

Na kama logic ni upuuzi, chochote unachoandika kwa alphabet ni upuuzi?
Uko vizuri sana mkuu! Nakuelewa!
Naomba msaada wako kwenye hili:
1. Tukiamua au kukubaliana kutumia FACTS kujadili uwepo au kutokuwepo kwa "MUNGU", Source/Origin ya izo FACTS ni ipi?! Tuna imani gani na iyo source/origin ya izo FACTS?? Namaanisha ivi...kama FACT ni "SAYARI KULIZUNGUKA JUA" Je, source/origin ya FACT hii unaiamini kiasi gani??!

2. Tukiamua au kukubaliana kutumia LOGIC kujadili uwepo/kutokuwepo kwa "MUNGU". Nini itakua Standard Scale ya kui-qualify hio LOGIC as meaningful??! Kwasababu wote tunajua kwamba when it comes to LOGIC, everybody becomes a LABOUR to His/Her LOGIC (LOGIC becomes a master...the same applies to one's Opinion!). Kwa kusema hivi, nilikutana na Phylosophy ya Einstein, ambayo alitumia this equation (6-3=6) to logically argue in favour of his phyllaophy.

I am doing this by examples to illustrate my concerns about GIVING much EMPHASIS on other people's opinions/logic, and FACTS generated and amplified by "People" to directly affect "Lifestyle"-Religion
 
Who is Allah? When did he/she came to be? Before your Allah? Did life exist before??

I'm sure you are familiar with Allah and have some knowledge of Allah, even if you don't believe in His existence.

So for example, I'm sure you know by definition Allah exists prior to creation. So I don't understand why you ask that loaded question. Allah by definition exists prior to creation. Were I to affirm otherwise, my sentence would be a contradiction. If we affirm the existence of Allah, we necessarily by definition affirm that Allah exists prior to creation. If you wish to deny Allah's existence and attributes, you are free to do so but you should respect that I as a Muslim of course cannot deny my own beliefs. So two out of your four sentences (the middle sentences) imply propositions I necessarily must reject and are not a common ground for discussion.

As to the first sentence, Surah Al-Ikhlas describes Allah (I don't think all His attributes are covered in the Surah but it's a good brief description if you want a brief description- for a more complete description, read the Quran)

Say, "He is Allah, [who is] One,
Allah, the Eternal Refuge.
He neither begets nor is born,
Nor is there to Him any equivalent."


-Surah Al-Ikhlas [112]

As to the last sentence, God by definition necessarily exists prior to creation. Even Christians and Jews would understand that.

Anyways, you brought up the Marxian critique of religion (religion as "opiate of the masses"). Maybe that critique could have seemed plausible and "revolutionary" to people in the 19th century when Marx made that claim. In the latter half of the 19th century, openly opposing religion was still a shocking thing. However, this is a long time later. Even in Marx's day I don't think that was all that "radical"- look at people like Darwin for example. I think Marx was actually part of a trend and that Western culture was turning against religion in that period. So his "revolutionary" stance against religion I think was actually part of a trend.

Things in the period since then have intensified. The Marxist critique of religion is nonsense. The Marxist view is that religion is a "noble lie" promulgated by the system. If we lived 700 years ago, maybe that might seem more convincing. Even in Marx's day, I don't think it was all that convincing when one really examines it. Religion in the West was crumbling at that time.

Anyways, who are the bad guys if you follow the Western media? Muslims and Christians are "terrorists". Muslims more so but Christians also are demonized. In the Cold War period, who was the US fighting? Communists. The USSR has fallen- now who? Muslims. Muslims are portrayed as "enemy #1" of the US. The US people are groomed continually for bombing, invading and killing Muslims. No one is afraid of Marx. You can declare yourself a Marxist all you want. No one cares. Marxism has become part of accepted dogma and is forced on people in the universities. If Marx was really a threat to the system- why do the universities push Marxist doctrine on people? Where I live, I cannot say "God bless you" to someone without being regarded as a "fanatic". Yet I am to believe that the system is pushing religion? It is the reverse. They're not bombing Muslims, killing Muslims, invading Muslim countries, dehumanizing Muslims, targeting Muslims because the system is in favor of religion. The system is terrified of religion. The system is terrified of Muslims. That may have been less obvious in Marx's day and in his time I can understand why people might have thought his critique was "radical"- however, in our day it does not hold up to even cursory examination.

Marxism and his materialism was so "radical" that the so-called "Russian" Revolution was financed by Wall Street bankers:
Amazon product ASIN 1634241231(let anyone read it for themselves and see for themselves if they want)
 
Expanding on my previous post as I just remembered.....

I actually knew a woman from Tanzania who came out here to the US. She was the first person I met who I know who spoke Swahili. I had never met anyone from Tanzania. And this poor woman was a Christian- and the environment here was so hostile and condesecending against her Christianity that she behaved as though she felt ashamed of her religion. The people were not pushing religion as some sinister plot to "control the masses". The people were trying to pressure her into losing her religion.
 
Labda, ila mimi sikubaliani na hilo kwa sababu muda ndiyo chombo kinachotofautisha umbali wa kutoka tukio moja kwenda lingine na katika misingi hiyo tukio lolote linalotokea kabla ya muda ni sawa tukio halikuwepo kabisa.
Imani yako inatokana na unachokiamini...kwa mfano, mada iliopo hapa ni juu ya uwepo wa Mungu. Kaja kiumbe mwingine hapa anakanusha uwepo wa Mungu. So ni afadhal mm na ww tunashndana juu ya Mungu yupi ni wa kuabudiwa, je, ni yule anaeadhiriwa na "MUDA" aliouumba, au yule anaeathiriwa na na "Space"...point ni kwamba, kama muda ulikuepo kabla yake, then who created "TIME"?! Kama space ilkuepo kabla yake, then who created that "SPACE" for Allah and Planets to be in that space??!
 
Nimekuelewa mkuu, mimi naamini space and time vilikuwa katika uwepo ambao Mungu alianza kuwapo. Kwamba vyote vilianza kwa wakati mmoja na hakuna kilichokiathiri kingine ila vilisaidiana kuanzia point 0 kuja mbele. Kwa sababu unaweza sema space and time vilikuwepo kabla ya Mungu lakini kwaantinki hiyo ni kuwa kabla ya Mungu hakuna tukio lolote na kuelezeka na hivyo kuondoa uthibitisho wa space and time kuwapo kabla yake. Hayo ndo mawazo yangu.
 
Mleta mada umenivuruga kidogo. Mimi naamini kuwa Mungu yupo, lakini unaposema alikuwepo kabla ya muda na yeye ndiye aliyetengeneza muda, ni vipi tukio la yeye kuwepo litokee nje ya muda. Hebu nifafanulie hapo.
Nikusaidie kumuelewa, anzia kwenye Ku define time.
 
@Stephen Chelu
 
Nikusaidie kumuelewa, anzia kwenye Ku define time.
1. Ni hali ya utambuzi wa viumbe (binadamu) katika kutambua matukio na kutofautisha umbali kutoka tukio moja kwenda jingine.

2. Ni mstari wa kufikirika ambao matukio yote hutokea juu yake.
 
@Stephen Chelu
Nimesoma bandiko la mkuu, lakini sijaona mahali anapoonyesha uhusiano waMungu(Allah) na muda. Uwepo wake katika hatua za mwanzo kabisa za uumbaji hakujengi hoja ya wazi kuwa aliumba muda pia. Labda naweza sema kuwa muda ulitokea wenye kutokana na tukio la uwepo wake kwa kuwa muda hubeba matukio. Labda kama kuna maelezo zaidi.
 
Kwani mkuu, we unataka muda wa tukio gani??! Unataka kujua muda wa "Post-creation", "Fore-creation", "During-creation" au era ya Mungu before creation??
 
Kwani mkuu, we unataka muda wa tukio gani??! Unataka kujua muda wa "Post-creation", "Fore-creation", "During-creation" au era ya Mungu before creation??
Nachotaka kujua ni ushahidi wa kuonyesha kuwa yeye ndiye aliyecreate time, na kama ndiye aliyecreate time, uwepo wake uliwezekanaje nje ya time (kwa kuwa alikuwa hajaanza uumbaji na time haikuwepo)? Na kama alikuwepo bila time, je uwepo wake kwa kipindi hicho ni wa msingi? Hapo tu.
 
On the authority of Abu Hurayrah (May Allah be pleased with him ) who said that the Messenger of Allah (peace be upon him said:
Allah said, son of Adam inveigh against [the vicissitudes of ] Time, and Iam the Time, in My hand is the night and the day. As the Almighty is the ordainer of all things, to inveigh against misfortunes that are part of Time is tantamount to inveighing against Him.

Sahih Bukhari and Muslim.
 
1. Ni hali ya utambuzi wa viumbe (binadamu) katika kutambua matukio na kutofautisha umbali kutoka tukio moja kwenda jingine.

2. Ni mstari wa kufikirika ambao matukio yote hutokea juu yake.
Then you can't limit/put God in measure of time. Coz time only defines intervals between events. He was before the events. He created laws in which events occur . and one of ts measures/potentials in of power in which the events occur(time).
 
1. Ni hali ya utambuzi wa viumbe (binadamu) katika kutambua matukio na kutofautisha umbali kutoka tukio moja kwenda jingine.

2. Ni mstari wa kufikirika ambao matukio yote hutokea juu yake.
In simple terms Time is one of Gods creation that's why we can't perceive / understand him, unless he makes us do, in a particular area of question
 
Maswali ya uongo ni yapi na ya ukweli ni yapi??
 

Hapa Chini ulishatoa definition ya muda. Unashindwaje kutumia knowledge yko ku-figure out hyo dhana ya muda in real-time??

Ok! Jibu lako lipo kwenye hyo defn ya pili ya muda uloitoa hapa chini. With reference to Allah's creation, hapo ndipo muda ulipoanzia. Na aliendesha kaz ya uumbaj yeye ndiye alie-determine huwo muda (hence creation). Kama ilivyo ukitaka kuutaja muda tulionao sasa (Gregorian callendar) utasema ni miaka elfu 2 Anno domino (AD) (baada ya kuzaliwa kristo, tukio hilo ndo likawa reference in naming every ensuing year!).
Kama ukitaka muda kabla ya uumbaji ulofanywa na Mungu, huo muda utaitwa "Time before Allah's Creation".
Bottom line: Kama muda ni mstari wa kufikirka ambao matukio yte hutokea juu yake, then in this particular case, what seems to matter the most ni matukio. Anaesababisha tukio ndo yupo entittled to the creation of that time!

1. Ni hali ya utambuzi wa viumbe (binadamu) katika kutambua matukio na kutofautisha umbali kutoka tukio moja kwenda jingine.

2. Ni mstari wa kufikirika ambao matukio yote hutokea juu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…