God existed before time and He created time


Mimi hupenda kujadili mambo kwa kitu kinaitwa "immanent critique".

Immanent critique ni nini? Kwa kifupi, ni namna ya kuchambua hoja kwa kuanza kwa kutomkatalia anayekuhoji, unaaanza kwa kusema "hebu nichukulie kwamba upande wa pili uko sawa na mimi nimekosea, nianzie hapo, halafu nitake kukubaliana na upande wa pili kwa mawazo makunjufu kabisa, lakini, nisikubali kijinga tu, niulize maswali yangu yote mpaka niridhike"

Kihesabu hapondipo unaona habari za "let x =...", yani unapofanya "let x=..." unakuwa hujakubali "x=..." ila unaanza kutafuta jibukwa mfumohuo.

Tukirudi kwenye habari yako.

Umeeleza kuhusu facts. Kuongelea "facts" tu bila framework ni umasikini wa mawazo.Facts zinahitaji framework.

Kuna mfano mmoja wa injinia aliyepewa kazi ya kujenga daraja, akasema siwezi kujenga daraja.

Kwa nini? Akasema, kwa sababu sijaweza kuipata valie of pi in decimal nikaimaliza. Kama unaelewa pi, katika decimal ni irrational number ambayo as far as we can tell hai terminate.

Injinia akagoma kujenga daraja. Akasemaanaweza kujenga daraja halafu kikavunjika, hataki lawama.

Kumbe, kiukweli, value ya pi inayohitajika kujenga daraja inatakiwa kuwa na only four significant figures, huko mbele ni mbwembwe tu.

Ukianza ku question fact, bila kutoa framework, nitakwambia sawa, fact zote ni provisional, kwa sababu kwanza hatujakamilisha framework ya muda,kuna kesho, sasa kesho tukigundua tofauti fact zetu si tutazitupa?

Ukisom Godel's Incompleteness Theorems utaona hakuna fact isiyo provisional na isiyo relative na framework

Ukisom Einstein's Relativity utaona hakuna fact isiyo provisional na isiyo relative na framework

Ukisom Wave Particle duality utaona hakuna fact isiyo provisional na isiyo relative na framework

Ukisom Hegelian Dialectics utaona hakuna fact isiyo provisional na isiyo relative na framework

Ukisom Schrodinger's Cat's experiment utaona hakuna fact isiyo provisional na isiyo relative na framework

Ukisom double split experiment utaona hakuna fact isiyo provisional na isiyo relative na framework

Sasa unapouliza facts,unauliza kwa framework gani? Kwa epistemology gani? Kwa cosmogony gani?

Halafu, nikikwambia facts haziaminiki,tusiziamini, hilo halithibitishi Mungu yupo. In fact habari hizi zinaweza kukupeleka usiamini kwamba wewe mwenyewe upo, kwa sababu wewe mwenyewe unaamini upo kwa kutumia namna fulani ya facts.

Sasa kamawewe hupo, dunia haipo, habari nzima ya kwamba Mungu yupokwa kuwa kakuumba wewe na dunia inakosa msingi.

Utaona kwamba hata ukiishambulia fact na kuisambaratisha, hilo hali prove Mungu yupo, sanasana unaongeza ushahidi kwamba Mungu hayupo.



Mimi nimetumia logical consistency na contradictions kutenga uongo na ukweli.

Hata uki discredit logic, hilohalithibitishi Mungu yupo! Unachotakiwa kufanya ni kuthibitisha Mungu yupo.

Uki discredit logic una establish chaos kwamba hakuna yeyote anayeweza kuthibitisha lolote kwa njia yoyote popote.

Hapo hujathibitisha Mungu yupo. Kinachotakiwa ni uthibitisho kwamba Mungu yupo.

I am doing this by examples to illustrate my concerns about GIVING much EMPHASIS on other people's opinions/logic, and FACTS generated and amplified by "People" to directly affect "Lifestyle"-Religion

Unaelewa kwamba hata wewe hapa umeandika mawazo yako kwa logic ya alphabet ya watu wengine mpaka nikakuelewa?

Mimi natumia logoical consistency na contradictions,na test vitu, sikubali tu.

Mpaka sasa naona logic ya alphabet, kwa kiasi fulani, inafaa kwa matumizi ya majadiliano, kwa sababu nimeitumia kuelewa unachouliza nikakujibu.

Kamaunasema tusitumie kitu chenye logic iliyowekwa na wengine, acha kutumia simu, acha kutumia computer, acha kutumia lugha, acha kutumia alphabet, anzisha kila kitu chako.

Utaweza?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo kwa namna yoyote? Hata tukisema tusitumie logic kwa sababu logic haiaminiki?

Utawasiliana vipi nami hapa kuendeleza mjadala bila kutumia logic japo ya lugha na alphabet?
 
Sawa, mkuu nimekueleweni.
 
Then you can't limit/put God in measure of time. Coz time only defines intervals between events. He was before the events. He created laws in which events occur . and one of ts measures/potentials in of power in which the events occur(time).
Ok mkuu.
 
Unaruka ruka tu,umetoka kwenye Mungu kuumba huu ulimwengu ni contradiction na sasa umekuja na madai ya kwamba Mungu angekuwepo huu ulimwengu usingekuwepo.

Kipi kinakufanya uone Mungu anawajibika na huu ulimwengu?
 
Unaruka ruka tu,umetoka kwenye Mungu kuumba huu ulimwengu ni contradiction na sasa umekuja na madai ya kwamba Mungu angekuwepo huu ulimwengu usingekuwepo.

Kipi kinakufanya uone Mungu anawajibika na huu ulimwengu?
Mungu mjuzi wa yote, muweza yote na mwenye upendo wote anaweza kufanya uovu?
 
Mungu mjuzi wa yote, muweza yote na mwenye upendo wote anaweza kufanya uovu?

Kwako wewe Uovu ni nini ?

Hili swali lingine umeuliza la uongo. Sababu Mola hana sifa ya uovu wala kudhulumu bali wala kuonea.

Ila nakukumbusha tu,unapotaka ujibiwe maswali yako na wewe uwe unajibu maswali ya wenzako.

Nasubiri majibu ya maswali yangu ....!
 

MUNGU HUJIDHIHIRISHA KWA WALE WENYE IMANI NA UWEPO WAKE. WEWE UPO NJE YA UTARATIBU, UTADHIHIRISHIWAJE UWEPO WAKE.

Kwamfano: UKIAMBIWA KUA NGAMIA AKITAKA KUCHINJWA ANAPIGWA KISOMO MPAKA ANAELEKEA KIBRA MWENYEWE ILI ACHINJWE (Hii inakupa tafsiri gani wewe kama si mtu wa imani??!)
 
Hujathibitisha. Unahubiri.
 
Udhibitisho wa namna gani unautaka?? Zaidi ya kazi za mikono yake zinazoji manifest??
Sitaki udhibitisho.

Nataka uthibitisho.

Unaelewa tofauti? Unajua Kiswahili?

Uthibitisho ulio logically consistent na usio na contradiction.

Mungu ana mikono? Ina vidole vingapi?
 
Unaikubali quran kama chanzo chako cha kumuelezea mungu

Je unaweza kuniambia quran kaindika nani?

UANDISHI WA QUR'AN TUKUFU:

Kujibu swami lako kwanza ifahamike kuwa Qur'an ni uteremsho kutoka kwa Mola wa walimwengu wote kuja kwa Mtume wa mwisho ambaye Ni Muhammada Mustafa.
Uteremsho huo ulidumu kwa kipindi cha miaka 23 ya utume wake. Kutoka kwa Mola Kuja kwa Muhammad. Mletaji wa ufunuo (wahyi) huo ni Malaika Mtukufu - Jibril (as) au malaika Gabriel.

Ushahidi:
Tutarejea kwenye Quran yenyewe.
1. Al-Ahqaf :2, "Uteremsho wa kitabu umetoka kwa Mwentezi Mungu, mwenye nguvu, mwenye hikima".
2. Fussilat: 2, "Uteremsho huu umetoka kwa mwingi wa rehema, mwenye kurehemu".
3. As-Sajda: 2, " Huu ni uteremsho wa Kitabu kisichokuwa na shaka yoyote kinachotoka kwa Mola wa walimwengu wote".
4. Pia unaweza kurejea Az-Zumar: 2, Az-Zukhruf:4, Al-Baqara (2:97).

ILIHIFADHIWA VIPI?
Wakati wote ufunuo ukiteremshwa, haikuwa ikiandikwa kwenye sahifa au karatasi bali kwenye Ngozi , mawe, mifupa na kwenye vitambaa. Muhimu zaidi ni kuwa Qur'an ilihifadhiwa kwenye nyoyo za wanafunzi wa Mtume a.k.a Masahaba. Vile haikushuka kama kitabu kimoja au sura moja, mpangilio wake uliratibiwa na Mwenyezi Mungu kwa maelekezo ya Malaika Jibril. Mfano aya zikishuka basi Mtume anaagiza kuwa aya hizi ni katika sura Fulani. hivyo!.
Ilipokuwa utume umekamailika na Mtume tena hayupo, successor wake ambaye ni Abubakar as-Siddiq Allah awe radhi naye alishauriwa kuikusanya Qur'an katika mpangilio wa kitabu kimoja.

Zayd bin Thabit ndiye aliyepewa jukumu la kuikusanya.

Wakati wa utawala wa Uthman bin Affan, Allah awe radhi naye, aliamrisha wandishi waandike Qur'an kwa kunukulu kutoka kwa ile copy iliyokusanywa na Zayd bin Thabit ili isambazwe Africa, Asia na Ulaya.

MAJINA YA WAANDISHI WA QUR'AN TUKUFU.
1. Zayd bin Thabit
2. Abdullah bin Zubeir
3. Said bin Al - `As
4. Abdul-Rahman bin Harith bin Hisham
Mola awarehemu wote - Aamin!

Naamini nimejibu swali lako zuri na nimetimiza wajibu kwa Mola wangu, nami nataraji kamili kutoka kwake.
 
Yes nilitegemea maelezo yake yange-base kwenye uwepo wa Mungu before time and within it and when (maybe) the time was created

Alipokua akitengeneza muda (time) yeye alikua kwenye time zone ipi ?

Maswali ni mengi kuhusu muda kulingana na kichwa cha Uzi
Itakua poa kama ataweka sasa
Mleta mada umenivuruga kidogo. Mimi naamini kuwa Mungu yupo, lakini unaposema alikuwepo kabla ya muda na yeye ndiye aliyetengeneza muda, ni vipi tukio la yeye kuwepo litokee nje ya muda. Hebu nifafanulie hapo.
 
I'm doubting , "God created out of nothing " what is nothingness ? Where did He stay during the time of creation ? If no answer , then there must be one who created God !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…