God is playing tricks on me?!

I think it is ok to admire beauty...


I admire how God created such beautiful ppl... Sometimes I meet ppl who are really beautiful (MEN and WOMEN) now only if I am with my friends or sisters I would dare to say it loudly... wow look at her/him!!! but i wouldnt dare do that infront of my husband🙂 ...

but it doesnt mean I want them or something like that but I just admire their beauty ....
 
I think hujatulia.
lover boy!
You are praying tricks on yourself and not God praying tricks on you.
 
mara zote warembo hao wanakuwa free hivi na kama wananitazama tazama.
kiuchokozi chokozi...as if wanasema ungekuwa peke yako ........
kinachonishangaza hali hii ni kila siku,
??????

WanaUME Tunapenda sifa sisi? mh!
 
Subiri subiri!
lakini pia ni vyema ukawa unaniombea mabaya pia,MAANAKE NDICHO UNACHOKISUBIRI

nakuombea mazuri,kwa sababu
nafikiria ku futa nyayo zako...
siwezi kuwa single milele.
 
nakuombea mazuri,kwa sababu
nafikiria ku futa nyayo zako...
siwezi kuwa single milele.

kiongozi,
kwa mtizamo wangu mdogo ninaamini GOD CAN NEVER PLAY TRICKS(such tricks if i must be specific) TO YOU.

sasa sema,
tunaweza kuijadili title ya thread yako(kama upo kwenye mlengo wa bluray),au tumwombe invisible aibadilishe...aandike Devil is playing tricks on me????
 
nalisubiri hilo taji.ninavishinda.....
Hakuna wa kukuvisha taji hapa,taji la mzinzi ni ukimwi na badala ya kumshukuru Mungu anakuepusha unataka mtupia lawama,Mungu anakujua vizuri kuwa wewe ni mzinzi ndio maana anakutengenezea mazingira hayo,huyo unayemuita sweetheat lotion wako akae akijua hapo unamchezea tuu na hakuna hata chembe ya upendo,sasa kama hao warembo wangekuwa wanatokea wakati uko peke yako sasa hivi si ungekuwa na Merikebu iliyojaa mademu?Jiheshimu wewe!!
 

ukiwa too serious kwa kila kitu
kwenye maisha yako,
utakuja pata cancer...
relax.do not take everything so serious.
 
Haswaaaaaaaaaaaaa.Umenena vema kabisa.Nathani thread ifungwe ashapata majibu yake.
 
Haswaaaaaaaaaaaaa.Umenena vema kabisa.Nathani thread ifungwe ashapata majibu yake.

we acha kuwa extreme..
thread ifungwe ili iweje?
taratibu,sio wote walokole humu.
 
we acha kuwa extreme..
thread ifungwe ili iweje?
taratibu,sio wote walokole humu.
Kweli hujipendi.Sasa unatafuta wa kukusapoti kwa hizo tamaa zako? Mambo mengine sio ya kilokole ni just Common sense.Ushaambiwa hizo ni tabia za kizinzi,achana nazo hutaki.sasa unataka uambiwe nini?
 
Kweli hujipendi.Sasa unatafuta wa kukusapoti kwa hizo tamaa zako? Mambo mengine sio ya kilokole ni just Common sense.Ushaambiwa hizo ni tabia za kizinzi,achana nazo hutaki.sasa unataka uambiwe nini?

how old are you?????
u r so pathetic,
u really think kila tunchobandika
humu ni that serious sio?
 
mkuu.
kwanza hongera kwa kuoa.
sikupata mda wa kukupa hongera.
but toka uoe naona umekuwa na busara sana.
nasubiri ukae mwaka mzima nione.
usije kuwa shetani kutuzidi sisi...


mkuu mtakie heri nduguyo na sio kumwombea mabalaa kaka as on your last sentence! ha haha!

Ikimbieni zinaa!
 
how old are you?????
u r so pathetic,
u really think kila tunchobandika
humu ni that serious sio?
Wewe ndio wa ajabu kwanza nakushangaa.Kama unaona kitu sio siriaz kwa nini ukilete hapa? Unataka kupotosha jamii? hujui kuna watu wanasoma humu na wanafanyia kazi huo ushauri?Tabia hii ya kuleta mada zisizo siriaz ni mbaya hasa kwa kipindi hiki cha "Tanzania bila ukimwi inawezekana"
I pity you,dont be so naive.
 
KEMEA DADA LAKE NA GEOFF!...ataelewa tu,lolz.eti anakuuliza umri,ili iweje?
 

Boss,

You should be very thankful to God because he is rescuing you from all the problems surrounding mahusiano ya siku hizi!!!

Ila pia nakubaliana na wewe that sometimes you wish to enjoy and celebrate life kwa kuendelea kuadmire kazi ya mungu.

AU mzee unataka kucheua mzigo ulionao nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…