God is playing tricks on me?!

subiri sweetie wako naye aje aposti humu..
Ati kuna vidume anavimezea mate kila mkiwa wote (Afu wa HBs we chamtoto)..
Akiwa pekeake hata wa dawa hamuoni..
Enjoy the view and get a nap!
Achana nao makontena daily yanamwagwa..
Utadata....
 

inawezekana mazee...you could be right....
 
Mi nafikiri hujiamini na uliyenaye, so kila ukiwa naye waanza kulinganisha yupi kifaa. jiamini wazuri wanazaliwa kila siku.
 
Boys will be boys, na beutiful women have and will always be there...and you can't have them all...
 
Akuongozaye ktk hilo ni shetani tu. Hata huyo my shitie wako utajamdump kama taka maana ndicho unachokihitaji maana mara zote watafuta wa kumzidi but KAMATA ULIPOPASHIKILIA NA KIZURI NI VISENTI VYAKO.Uzuri ni wao wala hautakusaidia chochote anatembea nao yeye wala ci wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…