Godbless Lema, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, amemkosoa Waziri Mchengerwa kuhusu takwimu za uandikishaji wa wapiga kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Lema amesema kuwa Waziri Mchengerwa alitangaza idadi ya waliojiandikisha kupiga kura Dar es Salaam kuwa milioni 3.483, ikilinganishwa na watu milioni 3.59 waliopo kwa mujibu wa Sensa ya 2022. Ameeleza kuwa idadi hii inaonyesha kasoro, kwani inaashiria kwamba karibu watu wote, hata watoto, wamejiandikisha.
Aidha, Lema amebainisha kuwa Mwanza, idadi ya waliojiandikisha kupiga kura ilikuwa milioni 2.08, huku Sensa ikionesha watu milioni 1.95. Alisema takwimu hizi zinazua maswali kuhusu usahihi wa uandikishaji huu, akihimiza uwazi na uwajibikaji kwenye maandalizi ya uchaguzi huo wa Novemba 2024.
Mbona Mbowe ni mkwe wa Mtei lakini haisemwi kuwa Lilian anamsaidia Freeman kuongoza Chadema japo kwenye Maandamano Lilian na Bint yao Nicole walikamatwa pamoja na Father house Freeman Mbowe? 😂
Siasa Hizi ndio sababu Benjamin Netanyahu amefanya maamuzi magumu
Godbless Lema, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, amemkosoa Waziri Mchengerwa kuhusu takwimu za uandikishaji wa wapiga kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Lema amesema kuwa Waziri Mchengerwa alitangaza idadi ya waliojiandikisha kupiga kura Dar es Salaam kuwa milioni 3.483, ikilinganishwa na watu milioni 3.59 waliopo kwa mujibu wa Sensa ya 2022. Ameeleza kuwa idadi hii inaonyesha kasoro, kwani inaashiria kwamba karibu watu wote, hata watoto, wamejiandikisha.

Unaposema hizi takwimu sio sahihi leta zako.Takwimu hupingwa kwa takwimu.Ni ujinga kudhani sensa walihesabiwa watu wote. Na ni ujinga kudhani daftari wameandikishwa watu wote wanaoishi Tanzania..Kulikuwa na malengo ya watakaojiandisha na waliojiandikishwa asilimia zimetokana na malengo yaliowekwa.