Pre GE2025 Godbless Lema aja na Robot aitwaye Chloe ambaye Majukumu yake ni Kukaribisha Wageni kama yule Eunice wa Bungeni

Pre GE2025 Godbless Lema aja na Robot aitwaye Chloe ambaye Majukumu yake ni Kukaribisha Wageni kama yule Eunice wa Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716

Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Godbless Lema amewataka Wananchi kumlinganisha Robot Eunice wa bungeni na Robot wake aitwaye Chloe ambaye Kazi yake ni kumkaribisha

Robot wa Chadema or sorry Lema yuko Ukurasani X kwa mh Godbless Lema

Nawatakieni Sabato Njema 😃
 

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Godbless Lema amewataka Wananchi kumlinganisha Robot Eunice wa bungeni na Robot wake aitwaye Chloe ambaye Kazi yake ni kumkaribisha

Robot wa Chadema or sorry Lema yuko Ukurasani X kwa mh Godbless Lema

Nawatakieni Sabato Njema 😃
Lema nae ni mdudu!
 
Hongereni chadema na robot wenu, huyo!, siasa za Tanzania bana, kwa hiyo sasa tumehamia kwenye hoja za ushindani wa maroboti ambayo yanakuwa feeded kama tape recorder!
Software ambayo inaweza kufanya kazi hata kwenye laptop zetu,au pengine smartphones, maana vipo vi smart phone unaviamuru tu, "" call Mr Julius, kanatafuta jina kanapiga kenyewe""sense a word / and answer accordingly!
 
robot mzuri,.. nikipata robot kama huyu mi naoa. hawana UTI wala gono hawa.
 
Labda watafiti wa Tanzania waje na teknolojia ya robot linaloweza kushika ujauzito 😀!
 
Huyu kama mtu la bungeni limesimama wima kama mnara, haligeuki mdomo haufunguki, halibadilishi nguo
 
Back
Top Bottom