Pre GE2025 Godbless Lema alikuwa mwanachama wa NCCR !

Pre GE2025 Godbless Lema alikuwa mwanachama wa NCCR !

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
najua wanachadema mtaikimbia mada hii
 
Kati ya 2005 mpaka 2010 Chadema ilichukua wanachama toka Cuf, Nccr, Tlp, na vyama vingine. Ndio kipindi hicho wanaharakati kama Wilfred Lwakatare, Joseph Selasini, Abdallah Safari, Peter Msigwa, na wengine walijiunga na Chadema. Sio jambo la ajabu kwa wanasiasa kuhama vyama. Watanzania tuache mambo ya kizamani.
 
Wafuasi wa CHADEMA asilia wanaikumbusha jamii kuwa Godbless Lema ni muhamiaji tu ndani ya Chadema.

Hivyo hana haiba ya kuwasumbua wana CHADEMA original.

PIA SOMA
- LGE2024 - Godbless Lema: Hakuna namna hata kwa muujiza ACT inaweza kuwa na wagombea 2000 nchi nzima

Godbless Lema ni mwanachama wa Chadema. Alitokea TLP na siyo NCCR MAGEUZI lakini kwa sasa ni kada mwaminifu wa Chadema
 
Kati ya 2005 mpaka 2010 Chadema ilichukua wanachama toka Cuf, Nccr, Tlp, na vyama vingine. Ndio kipindi hicho wanaharakati kama Wilfred Lwakatare, Joseph Selasini, Abdallah Safari, Peter Msigwa, na wengine walijiunga na Chadema. Sio jambo la ajabu kwa wanasiasa kuhama vyama. Watanzania tuache mambo ya kizamani.
Hao ni vijana wa Mbowe tu
 
1. Mmiliki wa Jengo yupo wapi?
NANI NI MMILIKI WAJENGO.
2. Ramani za jengo ziko wapi??
Uokozi bila Ramani.

3. Ghorofa nne watu wanaokolewa siku nne na sio moja. TAIFA LIMEOZA.

4. Selikali ipo Radhi kununua Mabomu, magali ya Jeshi nk kuizuia CHADEMA na Inashindwa KUNUNUA VIFAA VYA UOKOAJI kwa Raia wake.

5. Niffer amejipeleka Kituoni, Yuko wapi mmliki wa Jengo.

6. Je ni nani aliyetoa vibali vya kujenga na kubomoa anakamatwa Niffer.
TANZANIA YANGU MASIKINI

ZIMA MOTO NA UOKOAJI NI SAWA NA HAKUNA KITU ZERO KABISA.
JESHI LIVUNJWE HARAKA

KARIAKOO HAKUNA PAKING HAKUNA OPEN SPACE HATA MOJA

MAJENGO MENGI KARIAKOO YAMEOZA
 
Dhima Hasa ya mada haieleweki, mada imekaa kiufitini na uchonganishi!
 
Hapa ndio nakuwaga naamini CCM ni wajinga sana... Kwani CCM wangapi wamehamia huko kwenu kuunga juhudi ..mpaka malaika wa mbinguni akawaita ni "ng'ombe waliokatwa mikia" ....!??
 
Back
Top Bottom