Huo ni UBAGUZI angalia mchango wake kwa chama,Wafuasi wa CHADEMA asilia wanaikumbusha jamii kuwa Godbless Lema ni muhamiaji tu ndani ya Chadema.
Hivyo hana haiba ya kuwasumbua wana CHADEMA original.
PIA SOMA
- LGE2024 - Godbless Lema: Hakuna namna hata kwa muujiza ACT inaweza kuwa na wagombea 2000 nchi nzima
Wafuasi wa CHADEMA asilia wanaikumbusha jamii kuwa Godbless Lema ni muhamiaji tu ndani ya Chadema.
Hivyo hana haiba ya kuwasumbua wana CHADEMA original.
PIA SOMA
- LGE2024 - Godbless Lema: Hakuna namna hata kwa muujiza ACT inaweza kuwa na wagombea 2000 nchi nzima
Godbless Lema ni mwanachama wa Chadema. Alitokea TLP na siyo NCCR MAGEUZI lakini kwa sasa ni kada mwaminifu wa ChademaWafuasi wa CHADEMA asilia wanaikumbusha jamii kuwa Godbless Lema ni muhamiaji tu ndani ya Chadema.
Hivyo hana haiba ya kuwasumbua wana CHADEMA original.
PIA SOMA
- LGE2024 - Godbless Lema: Hakuna namna hata kwa muujiza ACT inaweza kuwa na wagombea 2000 nchi nzima
Hao ni vijana wa Mbowe tuKati ya 2005 mpaka 2010 Chadema ilichukua wanachama toka Cuf, Nccr, Tlp, na vyama vingine. Ndio kipindi hicho wanaharakati kama Wilfred Lwakatare, Joseph Selasini, Abdallah Safari, Peter Msigwa, na wengine walijiunga na Chadema. Sio jambo la ajabu kwa wanasiasa kuhama vyama. Watanzania tuache mambo ya kizamani.
Selasini, na Prof.Safari, ni watu wazima. Kudai ni vijana wa Mbowe ni kuwavunjia heshima.Hao ni vijana wa Mbowe tu
Hawapo hapa jukwaani ndio maana hata wakihamasishwa maandamano hawaonekani!najua wanachadema mtaikimbia mada hii