Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hatakiwi sasa, aende kufanya nini wakati wafiwa hawamtakiMasauni aende alafu huyo atakae sababisha madhara tumuone.
Lema siyo mwanafamiliaHatakiwi sasa, aende kufanya nini wakati wafiwa hawamtaki
Likikukuta wewe katika familia yako ndipo utaelewa kama huyo mtu anatakiwa au hatakiwiLema siyo mwanafamilia
Masauni aende alafu huyo atakae sababisha madhara tumuone.
Kabisa....Maelekezo hayo Kabambe yametolewa Moja kwa moja Mjini Tanga, Mbele ya Hamad Masauni ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani anayehusika na Usalama wa Raia na Mali zao.
Lema amezungumza kama Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, ambayo Mzee Ally Kibao alikuwa anatokea.
Hamad Masauni amezomewa na kuteremshwa kwa Aibu Jukwaani na Wananchi wa Tanga wakiihusisha serikali anayoitumikia na Mauaji ya Mzee Ally Kibao.
Mungu Ibariki Tanga
Umeona kilichomkuta?Masauni aende alafu huyo atakae sababisha madhara tumuone.
Unaendaje kwenye msiba usiokuhusu, huo ni uchokozi.Masauni aende alafu huyo atakae sababisha madhara tumuone.
Lema amekabidhiwa msiba na familia, vinginevyo angezomewa, CCM acheni uchokozi, mbona mnajipa mamlaka kwenye misiba ya wanafunzi na pesa za rambirambi mnazipiga.Lema siyo mwanafamilia
Yes wamshikishe adabu, ili akome.Maelekezo hayo Kabambe yametolewa Moja kwa moja Mjini Tanga, Mbele ya Hamad Masauni ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani anayehusika na Usalama wa Raia na Mali zao.
Lema amezungumza kama Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, ambayo Mzee Ally Kibao alikuwa anatokea.
Hamad Masauni amezomewa na kuteremshwa kwa Aibu Jukwaani na Wananchi wa Tanga wakiihusisha serikali anayoitumikia na Mauaji ya Mzee Ally Kibao.
Mungu Ibariki Tanga
Inanikumbusha mazishi ya marehemu makamu mwenyekiti chacha wangwe kulizuka vurugu!Maelekezo hayo Kabambe yametolewa Moja kwa moja Mjini Tanga, Mbele ya Hamad Masauni ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani anayehusika na Usalama wa Raia na Mali zao.
Lema amezungumza kama Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, ambayo Mzee Ally Kibao alikuwa anatokea.
Hamad Masauni amezomewa na kuteremshwa kwa Aibu Jukwaani na Wananchi wa Tanga wakiihusisha serikali anayoitumikia na Mauaji ya Mzee Ally Kibao.
Mungu Ibariki Tanga
Anajipeleka kwenye msiba ambao wao ndio chanzoAnajipeleka kwenye msiba ambao Wafiwa hawamtaki ....!!?
Sio kumuhusu tuu, bali jeshi lake linahusikaUnaendaje kwenye msiba usiokuhusu, huo ni uchokozi.