Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
-
- #21
Akiwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto kabwe alikuwa sehemu ya ziara za Kikwete nje ya nchiUsiingize watu wote wa kigoma kwa kosa la MTU mmoja
Eliatonga Mrema alikuwa wa kigoma
John Mrema ni WA kigoma
Kuna mwingine pia wa huko anaweza kuingia kwenye hiyo list pia kama hatabadiki gia angani
Sio lazima kuua watu daima na kuwa ndiyo utamaduni na mazoea ili kutawala. Hakuna aliye na uchungu kuliko mwingine. Tanzania ni moja na Watanzania wanapaswa kuwa wamoja.Wewe unayefikiri wenzako ni wanafiki ndio MNAFIKI NAMBA MOJA. Na kuhakikishia kwa wanafiki kama ninyi uongozi wa nchi hii mtaishia kuupata kwenye mitandao tu. Zaidi zaidi mtaenda walipo wengine ili muendeleze unafiki wenu huko ila sio Tanzania! Tanzania MUST STAND WITH FOCUSED PEOPLE but not with hypocrite like you!!!
Wana unafique wa hali ya juu damuni.The best hypocrites of all times!Hivi watu wa Kigoma wanapigania kitu gani? hebu Mkumbukeni Wallid Aman Kabouru.
Focused people wa kuwa wasemaji wa watawala wezi!? Chadema ndio Iko upande sahihi mtu apate ubunge urais au udiwani Kwa haki na si Kwa mgao wa makombo baada ya ccm kushiba na kusaza.Wewe unayefikiri wenzako ni wanafiki ndio MNAFIKI NAMBA MOJA. Na kuhakikishia kwa wanafiki kama ninyi uongozi wa nchi hii mtaishia kuupata kwenye mitandao tu. Zaidi zaidi mtaenda walipo wengine ili muendeleze unafiki wenu huko ila sio Tanzania! Tanzania MUST STAND WITH FOCUSED PEOPLE but not with hypocrite like you!!!
Ni mpiga ramliHivi Lema ana shughuli gani ya kumuingizia kipato kwa sasa?
Hata TUMBILI!Hivi watu wa Kigoma wanapigania kitu gani? hebu Mkumbukeni Wallid Aman Kabouru.
Onesheni uzalendo na kumpinga huyo Zitto ili msidharaulike.Walid Kabour,Zitto Kabwe na vibaka wengine wadogowadogo wanawaaibisha sana.Shame!Usiingize watu wote wa kigoma kwa kosa la MTU mmoja
Eliatonga Mrema alikuwa wa kigoma
John Mrema ni WA kigoma
Kuna mwingine pia wa huko anaweza kuingia kwenye hiyo list pia kama hatabadiki gia angani
Kwani Zitto ni muha? Ujue Kigoma kuna makabila toka nchi jirani.Zitto ndo nimesikia katangaza vita vya maji maji phase II ...
Kanafiki sana aka kaha.
Kamuulize mke wake.Swali gani la kifala hilo?Au unataka aendeshe bodaboda?Hivi Lema ana shughuli gani ya kumuingizia kipato kwa sasa?
Unamkweza.Ni muha mla ugali wa loya.Kwani Zitto ni muha? Ujue Kigoma kuna makabila toka nchi jirani.
Musilamu.Alimkosoa sa JPM. Siku hizi kawa kiziwi
R I P Thadei Ole Mushi.Mchaga kumbuka Lyatonga na Joka la Mekengeza aikaeli😂
Tone Tone!Hivi Lema ana shughuli gani ya kumuingizia kipato kwa sasa?
Kuna watu hawana aibu kweli. Yani Lema uzito wa unyoya kwenye siasa anaweza kumkosoa Zitto heavyweight? Kama kawaida yake amepotosha na kuzusha kinyume na muktadha wa Zitto. Maskini wala akili yake haikuweza kung'amua alichokisema Zitto.
Ahahahahaha! Wenzako waliishasema hivyo miaka mingi iliyopita. Kapuku kama wewe utaiweza wapi CCM?Aliyekudanganya kwamba unaweza kutunyamazisha kakuchuuza kibwege sana! Tafuta kazi ccm imefika mwisho
Focus ya kuua watu haina nafasi tena kwenye Nchi yangu
Ila dunia nzima yule anayekwenda kinyume na wenzake kwa nia kuharibu nchi yake "anashughulikiwa" na ushahidi upo Dunia nzima. Kweli si kwelSio lazima kuua watu daima na kuwa ndiyo utamaduni na mazoea ili kutawala. Hakuna aliye na uchungu kuliko mwingine. Tanzania ni moja na Watanzania wanapaswa kuwa wamoja.
Naheshimu maoni yako. Naamini na wewe utaheshimu yangu. Kama unaamini ya kwako ndio bora kuliko ya wengine sina haja ya kukubishia.Focused people wa kuwa wasemaji wa watawala wezi!? Chadema ndio Iko upande sahihi mtu apate ubunge urais au udiwani Kwa haki na si Kwa mgao wa makombo baada ya ccm kushiba na kusaza.
Inahusiana vipi na hoja yakeHivi Lema ana shughuli gani ya kumuingizia kipato kwa sasa?
Huyo mwizi wa magari bangi imempanda kichwani. Hao ni nyumbu hawajui wanachopigania, chams kimeshakufa wanahangaika humu mitandaoni