Godbless Lema ashangaa Porojo za Zitto Kabwe

CHAWA UNA SHIDA SANA,...UNAFIKI WA LEMA UKO WAPI HAPO?
 
Kama unadhani JF ina wajinga basi unapaswa kuombewa
 
Kama unadhani JF ina wajinga basi unapaswa kuombewa
Wewe ambae sio mjinga, nionyeshe wapi ambapo Zitto amesema CCM itawaachia ACT-WAZALENDO au chama kingine majimbo.

Humu JF kuna wajinga wengi sana. Na kinachosikitisha wengi hawajijui. Machawa nao wamo kutoka kila upande.

Amandla....
 
Zitto Kabwe Hana utofauti na mapadri wa Roman Catholic.
 
Tuseme samia naye ni miongoni mwa focused people mbona watu wanatekwa na kuuwawa hana anachofanya ?
deni la taifa linaongezeka na kinachofanyika hatukioni?
tuseme ndugai naye ni focused people? aliruhusu vipi watu waliofukuzwa vyama vyao wakakaa bungeni?
Tuseme majudge wa ccm ni focused? waliwezaje kuwaruhusu Kina Mwambe wakakaa bungeni kwa kodi za watanzania huku wakijua siyo wabunge kwa mujibu wa katiba?
FOCUSED PEOPLE Unaowasema hapa ni Hawahawa kina NYAHOZA Au? hawa wanaozuiya watu wasiende makanisani ati kisa chama chao kimezuiwa?
Tanzania na haswa CCM hAKUNA FOCUSED PEOPLE WEWE
 
Hivi kura inalindwaje wakati ushaambiwa ukimaliza kupiga kura kama mita 100 mbali na kituo Cha kura.
 
Ila dunia nzima yule anayekwenda kinyume na wenzake kwa nia kuharibu nchi yake "anashughulikiwa" na ushahidi upo Dunia nzima. Kweli si kwel
Kwenda sawa na wenzako inakuwa vigumu hasa kama unalazimishwa kusema hakuna jua wala mwezi duniani huku ukijua ni ukichaa,, yaani ukubaliane na uongo ili mkubaliane kudanganya.
 
Soma hapa uone unafiki usioeleweka wa Zitto kabwe

View attachment 3393147View attachment 3393148
Je wakati wanaanzisha NRNE waliwashirikisha kina Zitto.

Na kama waliwashirikisha waliwajibu nini.

Kama hawakuwashirikisha sioni uhalali wa Lema kumlaumu Zitto.

Maana kila Chama kina malengo yake katika mapambano yake.

Kama Chadema kinaamini katika NRNE kinapaswa kiungwe mkono katika hilo na kama ACT kinaamini katika kushiriki na kulinda kura zake basi nacho kinapaswa kiungwe mkono katika hilo.

Tuwapime baada ya muda kupita ili tuone nani alikuwa sahihi zaidi.Maana CCM kususiwa uchaguzi ameshazoea Maalim anawajua na alipata matokeo yakuwasusia uchaguzi.

Mwabukusi aliwahi kuelezea hili kuhusu kuwasusia CCM uchaguzi alilieleza vizuri sana.

Em tusihukumu watu kisa hawa hatuwapendi na hawa tunawapenda.

Nchi hii wapinzani misimamo yao huwa haieleweki suala la Lowasa liwe fundisho kwetu.

Tuishi na msemo wa "HAKUNA ALIEKAMILIKA".
 
Aliyemuua aliyekuwa Waziri Mkuu wa Sweden Bwana Olof Palme HAJAWAHI kupatikana licha ya kumuua nje ya ukumbibwa sinema na watu wakiwa wengi wanayoka sinema.

Aliyemuua J. F. Kennedy HAJAWAHI kupatikana.

Aliyemuuwa Princess Diana HAJAWAHI kujulikana hadi leo.

Nini Mzee Kibao bwana!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…