Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
so kwakuwa wazungu wanaoana wenyewe kwa wenyewe na wewe hata ukiolewa na dume mwenzio ni sawa au tusemeje?Aliyemuua aliyekuwa Waziri Mkuu wa Sweden Bwana Olof Palme HAJAWAHI kupatikana licha ya kumuua nje ya ukumbibwa sinema na watu wakiwa wengi wanayoka sinema.
Aliyemuua J. F. Kennedy HAJAWAHI kupatikana.
Aliyemuuwa Princess Diana HAJAWAHI kujulikana hadi leo.
Nini Mzee Kibao bwana!???
Dunia HAIJAWAHI kuwa fair hata siku moja. Ukishindwa ku comply utalazimishwa. Ukikataa wanafanya yao. Kasome kitabu cha The Prince!Kwenda sawa na wenzako inakuwa vigumu hasa kama unalazimishwa kusema hakuna jua wala mwezi duniani huku ukijua ni ukichaa,, yaani ukubaliane na uongo ili mkubaliane kudanganya.
Hilo Lissu na mwenzake Amsterdam wanaweza kulijibu vizuri kuliko mimi.so kwakuwa wazungu wanaoana wenyewe kwa wenyewe na wewe hata ukiolewa na dume mwenzio ni sawa au tusemeje?
1. KabouruHivi watu wa Kigoma wanapigania kitu gani? hebu Mkumbukeni Wallid Aman Kabouru.
Machali alimlamba vibao baba yake1. Kabouru
2. Machali
3. Kafulila
4. Zitto.
Waha ni watu wa hovyo sana
Inajulikana. Kwa hiyo tumwache aishi akiishikilia kweli halisi hata kufa kuliko kukubali uongo ili aneemeke. Anauelewa anchokifanya. Amechagua njia sahihi na kweli miongoni mwa wapotovu na waovu.Dunia HAIJAWAHI kuwa fair hata siku moja. Ukishindwa ku comply utalazimishwa. Ukikataa wanafanya yao. Kasome kitabu cha The Prince!
na nchimbi je? hawezi kujibu hilo? maana alijifungia nao mchana kutwa. tuseme na nchimbi naye anaunga mkono USHOGA ama siyo? maana alionekana na mashoga janaHilo Lissu na mwenzake Amsterdam wanaweza kulijibu vizuri kuliko mimi.
Kajifunze historia ya Socrates na ukweli !Inajulikana. Kwa hiyo tumwache aishi akiishikilia kweli halisi hata kufa kuliko kukubali uongo ili aneemeke. Anauelewa anchokifanya. Amechagua njia sahihi na kweli miongoni mwa wapotovu na waovu.
Amsterdam alikuwepo?na nchimbi je? hawezi kujibu hilo? maana alijifungia nao mchana kutwa. tuseme na nchimbi naye anaunga mkono USHOGA ama siyo? maana alionekana na mashoga jana
Damu HAIJAWAHI kumuacha mwanadamu. Ilianza kumwagika enzi za Abel na Kaini (watoto wa kwanza na wa pili wa Adam na Eva) hadi leo, kesho na keshokutwa itaendelea kumwagika!
Swali jengine?
Damu ya Abel ilimlilia Mungu,Damu HAIJAWAHI kumuacha mwanadamu. Ilianza kumwagika enzi za Abel na Kaini (watoto wa kwanza na wa pili wa Adam na Eva) hadi leo, kesho na keshokutwa itaendelea kumwagika!
Swali jengine?
Bahati mbaya, wakweli wengi hufa kabla hawajatimiza makusudi ya kuuishi ukweli kabla ya malengo yao huku wakiacha uongo ukibatizwa majina ya kutuhadaa.Kajifunze historia ya Socrates na ukweli !
Wazanzibar wanampelekesha.
ACT walifanya kosa sana kumpa Osman Uwenyekiti. Kama Zanzibar walishapita No Election no Reform wao waendelee na uchahuxibhuko kwao wawachie ACT Wazalendo bara.
Hili swala la kulinda kura haiwezekani. Unless wanataka kusababisha vurugu siku ya uchaguzi. Hakuna mCCM atakayekubali kusacrifize nafasi yake unless huo mgao utokee huko juu kwa Maza.
Onesheni uzalendo na kumpinga huyo Zitto ili msidharaulike.Walid Kabour,Zitto Kabwe na vibaka wengine wadogowadogo wanawaaibisha sana.Shame!
na suala la CCM kufanya reforms pia haiwezekani, na sualala chademe akuzuia uchaguzi pia haiwezekani
CCM kufanya Reform siyo kwamba haliwezekani bali ni uoga na jeuri kuwa hakuna cha kuwafanya. But the bottom line ni kwamba CCM wameamua kujichukulia madaraka wenyewe bila ridhaa ya Watanzania.
Kuna mahali Zitto amesema CCM itawaachia majimbo? Kama ni hivyo kwa nini ahimize wananchi kulinda kura zao? Lema anapata wapi nguvu kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni mbaya kuliko iliyotokea kabla hata haujafanyika? Utauzidi wa 2020? Au wa 2024? Na kipimo cha ubaya wa uchaguzi ni nini?
Zitto yuko realistic kwa chama chake. Ni lazima wamefanya analysis ya majimbo ambayo wanaweza kushinda na yapi hawawezi. Kwa sababu hiyo ni busara kuwekeza nguvu katika majimbo ambayo wana matumaini nayo. Ni strategic thinking ambayo dunia yote wanatumia.
Amandla...
hawakuanza leo, wameanza zamani sana
Wewe kama nani?Chadema acheni shobo kwa vyama visivyo vyenu, nyinyi mulitakiwa ku focus na harakati zen za kuzuia uchaguzi