Godbless Lema atangaza kumuunga mkono Spika wa Bunge la Wananchi Celestine Simba Uenyekiti BAWACHA Taifa

Mbangaizaji wa Taifa

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
493
Reaction score
844
IMG-20250115-WA0243.jpg

Anaandika Godbless Lemma

Hiki ndicho achoandika Nabii wa Mungu Godbless Lemma katika ukurasa wake wa X.

"Nawatikia BAWACHA Uchaguzi Mwema na pia nakutakia kila la heri Dada Celestine Simba. Nitafurahi nikisikia umeshinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA."

Soma Pia:

Nawatikia BAWACHA Uchaguzi Mwema na pia nakutakia kila la heri Dada Celestine Simba. Nitafurahi nikisikia umeshinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA.

Soma Pia:

Hiki ndicho achoandika Nabii wa Mungu Godbless Lemma katika ukurasa wake wa X.View attachment 3202916
Mambo huanzia hapo chama wapenda ngono na uzinzi!
 
Sasa wanafanya uteuzi wa viongozi wa CDM badala ya kusubiri Uchaguzi?

Kuna Mbelgiji leseni ya uwakili hajahuisha ila kila siku drama...

Kesho sio mbali
 
Kuna shida gani kama hajahuisha?
 
Lema ni mpima upepo mzuri, kaona upepo unaelekea kwa Lissu akakosa option.

Tapeli kama binamu yake mbowe.
 
View attachment 3202934
Anaandika Godbless Lemma

Hiki ndicho achoandika Nabii wa Mungu Godbless Lemma katika ukurasa wake wa X.

"Nawatikia BAWACHA Uchaguzi Mwema na pia nakutakia kila la heri Dada Celestine Simba. Nitafurahi nikisikia umeshinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA."

Soma Pia:

Kila lenye heri Simba
 
Naona Dada nyota inawaka sana
Wengi wa walioungwa mkono na Mropokaji Lissu na chawa wake akina Lema aidha wao wenyewe wameshindwa kwenye uchaguzi (mfano Mch. Msigwa alishindwa na Sugu na Heche alishindwa na Esther Matiko) au waliogopa kukamatwa.!!!
 
Celestine ni majina ya kiume
Anagombeaje Baraza la wanawake wa Chadema?

Mmmmm hivi huyo mgombea ni mwanaume,mwanamke au ana jinsia mbili au ni shoga la kiume ?

Lema tafadhali mambo yenu ya canada msilete Tanzania

Celestiine ni jina la wanaume

Mwanaume hawezi kuwa mwenyekiti wa baraza la wanawake Chadema
 
Ndg. Shotocan, jina "Celestine" ni gender free, jina hili limetoka kwa Walatini)Kilatin. Maana yake "heavenly" kama sijakosea. Hivyo Wa-Faransa wakalitohoa zaidi kama linavyoonekana sasa. Hebu rudi kwenye majina katika biblia uyasone yote utayapata pamoja na maana zake. ( NB: "Cha - Muzungu Hakiishi Ujinga"). Majina haya yamekuja na meli, yangekuwa ya akina Kabula au Doto ungeelewa mapema.
 
View attachment 3202934
Anaandika Godbless Lemma

Hiki ndicho achoandika Nabii wa Mungu Godbless Lemma katika ukurasa wake wa X.

"Nawatikia BAWACHA Uchaguzi Mwema na pia nakutakia kila la heri Dada Celestine Simba. Nitafurahi nikisikia umeshinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA."

Soma Pia:

Sasa huyo mbona ni msichana?
 
Wengi wa walioungwa mkono na Mropokaji Lissu na chawa wake akina Lema aidha wao wenyewe wameshindwa kwenye uchaguzi (mfano Mch. Msigwa alishindwa na Sugu na Heche alishindwa na Esther Matiko) au waliogopa kukamatwa.!!!
Matiko hakufukuzwa uanachama?
 
View attachment 3202934
Anaandika Godbless Lemma

Hiki ndicho achoandika Nabii wa Mungu Godbless Lemma katika ukurasa wake wa X.

"Nawatikia BAWACHA Uchaguzi Mwema na pia nakutakia kila la heri Dada Celestine Simba. Nitafurahi nikisikia umeshinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA."

Soma Pia:

Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom