Mbangaizaji wa Taifa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 493
- 844
Mambo huanzia hapo chama wapenda ngono na uzinzi!Nawatikia BAWACHA Uchaguzi Mwema na pia nakutakia kila la heri Dada Celestine Simba. Nitafurahi nikisikia umeshinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA.
Soma Pia:
- Tundu Lissu: BAWACHA kama mnataka fursa za uongozi Bungeni au Udiwani mchagueni Celestine Malley-Simba
- Uchaguzi 2025 - Spika wa Bunge la Wananchi Selestine Simba atangaza kumuunga mkono Lissu huku akitangaza kugombea Uenyekiti BAWACHA Taifa ili kujenga CHADEMA mpya
Hiki ndicho achoandika Nabii wa Mungu Godbless Lemma katika ukurasa wake wa X.View attachment 3202916
Huyu ni hopeless Simba atashindaItakuwa Kambi ya lissu hiyo..
Simba kama SimbaSasa wanafanya uteuzi wa viongozi wa CDM badala ya kusubiri Uchaguzi?
Kuna Mbelgiji leseni ya uwakili hajahuisha ila kila siku drama...
Kesho sio mbali
Umeandika ujinga, hebu rudia kusoma ulichoandika ujione ulivyo mbugilaSasa wanafanya uteuzi wa viongozi wa CDM badala ya kusubiri Uchaguzi?
Kuna Mbelgiji leseni ya uwakili hajahuisha ila kila siku drama...
Kesho sio mbali
SanaaaNaona Dada nyota inawaka sana
Kuna shida gani kama hajahuisha?Sasa wanafanya uteuzi wa viongozi wa CDM badala ya kusubiri Uchaguzi?
Kuna Mbelgiji leseni ya uwakili hajahuisha ila kila siku drama...
Kesho sio mbali
Kila lenye heri SimbaView attachment 3202934
Anaandika Godbless Lemma
Hiki ndicho achoandika Nabii wa Mungu Godbless Lemma katika ukurasa wake wa X.
"Nawatikia BAWACHA Uchaguzi Mwema na pia nakutakia kila la heri Dada Celestine Simba. Nitafurahi nikisikia umeshinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA."
Soma Pia:
- Tundu Lissu: BAWACHA kama mnataka fursa za uongozi Bungeni au Udiwani mchagueni Celestine Malley-Simba
- Uchaguzi 2025 - Spika wa Bunge la Wananchi Selestine Simba atangaza kumuunga mkono Lissu huku akitangaza kugombea Uenyekiti BAWACHA Taifa ili kujenga CHADEMA mpya
Wengi wa walioungwa mkono na Mropokaji Lissu na chawa wake akina Lema aidha wao wenyewe wameshindwa kwenye uchaguzi (mfano Mch. Msigwa alishindwa na Sugu na Heche alishindwa na Esther Matiko) au waliogopa kukamatwa.!!!Naona Dada nyota inawaka sana
Kipara bila akiri nisawa kendeMambo huanzia hapo chama wapenda ngono na uzinzi!
Sasa huyo mbona ni msichana?View attachment 3202934
Anaandika Godbless Lemma
Hiki ndicho achoandika Nabii wa Mungu Godbless Lemma katika ukurasa wake wa X.
"Nawatikia BAWACHA Uchaguzi Mwema na pia nakutakia kila la heri Dada Celestine Simba. Nitafurahi nikisikia umeshinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA."
Soma Pia:
- Tundu Lissu: BAWACHA kama mnataka fursa za uongozi Bungeni au Udiwani mchagueni Celestine Malley-Simba
- Uchaguzi 2025 - Spika wa Bunge la Wananchi Selestine Simba atangaza kumuunga mkono Lissu huku akitangaza kugombea Uenyekiti BAWACHA Taifa ili kujenga CHADEMA mpya
Matiko hakufukuzwa uanachama?Wengi wa walioungwa mkono na Mropokaji Lissu na chawa wake akina Lema aidha wao wenyewe wameshindwa kwenye uchaguzi (mfano Mch. Msigwa alishindwa na Sugu na Heche alishindwa na Esther Matiko) au waliogopa kukamatwa.!!!
Ngoja tuoneView attachment 3202934