carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Wewe ni msemaji wake binàfsi ama wa chama pendwa cha Watanźan̈ia Ŵazalendo na wapenda taifa. lao?Kulinda taasisi ni wajibu, kulinda ukweli ni dhamana. Si kila anayezungumza anataka vita, na si kila anayenyamaza analinda amani.
YOHANA 8:32
“Nanyi mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.”
Karibuni Kesho Kibo Palace Hotel
Jumapili Tarehe 1 /11/202
Umaneni
Uǰàmaa umegeuzwa kinyume na rimalengoʻ hivyo tafsiri ya sasa ujamaa na wajamaa wetu ni haramu na batìli kwanì umegeuzwa ķuwa ufisadi,rushŵa,utawala mbovu,wa mabavu,utekaji,uuwaji,waubambikiaji kesi za uongo kwa wenywe mawazo kinzani,chaguzi zisizo halàli na zenye kunyima uhuru wa kucĥgua viongoʻzi wenye sifa wanazohitàji wa piga kura kupitià wizi wa kura kwa usaidizi wa polisi n̈a tume tumwa za kuchafua chaguzi.Umaneni
Ok.🐒Kulinda taasisi ni wajibu, kulinda ukweli ni dhamana. Si kila anayezungumza anataka vita, na si kila anayenyamaza analinda amani.
YOHANA 8:32
“Nanyi mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.”
Karibuni Kesho Kibo Palace Hotel
Jumapili Tarehe 1 /11/202
Soma Pia: Godbless Lema kufanya mkutano na Waandishi wa Habari Januari 14, 2025. Je, atamuunga mkono Tundu Lissu?