Godbless Lema Godbless Lemma amjibu Ezekiah Wenje, asema ni muongo hastahili kuwa CHADEMA

Jamani waambieni hao chadema Sisi tunahitaji sera na si kuzodoana!
 
Ndicho anachokitafuta!
Ila anguko la Lissu ni anguko la Lema
Hahaha mafisadi wanaumiza vi hwa sana kuwa Lena, Heche na Lissu wapotee.
Mnapoteza muda, hawa ni hazina hatabwakiungana na Rungwe chauma ndani ya wiki ni kitakuwa na ni chama kikuu cha upinzani
 
Mpaka kieleweke hapa ni Bampa to Bampa hatimaye Godbless Lemma kumjibu Ezekiah Wenje na genge lake muda mfupi ujao

Stay tuned Jf.

Sawa na waha chini ya chief Theresa Ntare hawakuwa wabaguzi. Waliungana na machief wa mikoa mingine kuunda Tanganyika chini ya Nyerere....Cha ajabu sana waha wanabaguliwa na kuitwa warundi wakati Kigoma ingeweza kubakia kama nchi huru kama zilivyo Rwanda na Burundi.
 
Rais Samia ni mtu mwema sana. Ushahidi ni maneno ya lema. Namna anavyowasiliana na watu ni upendo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…