Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Siku ya leo akiwa anaongea na wanahabari, Godbless Lema amesema kuwa haamini kama ACT Wazalendo wana uwezo wa kufikisha au kusimamisha wagombea zaidi ya 2000 nchini.
Soma pia: Lema wa CHADEMA afichua madudu mazito kwenye zoezi la uandikishwaji wa wananchi Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Asema Serikali inaiba Uchaguzi
Kwa mujibu wa Lema, amedokeza kuwa huenda ACT Wazalendo wanatumika na CCM kufifisha nguvu ya CHADEMA kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Msikilize zaidi hapo chini: