Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 1,869 Reaction score 4,877 Nov 13, 2024 #1 Wakuu, Siku ya leo akiwa anaongea na wanahabari, Godbless Lema amesema kuwa haamini kama ACT Wazalendo wana uwezo wa kufikisha au kusimamisha wagombea zaidi ya 2000 nchini. Soma pia: Lema wa CHADEMA afichua madudu mazito kwenye zoezi la uandikishwaji wa wananchi Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Asema Serikali inaiba Uchaguzi Kwa mujibu wa Lema, amedokeza kuwa huenda ACT Wazalendo wanatumika na CCM kufifisha nguvu ya CHADEMA kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Msikilize zaidi hapo chini: Your browser is not able to display this video.
Wakuu, Siku ya leo akiwa anaongea na wanahabari, Godbless Lema amesema kuwa haamini kama ACT Wazalendo wana uwezo wa kufikisha au kusimamisha wagombea zaidi ya 2000 nchini. Soma pia: Lema wa CHADEMA afichua madudu mazito kwenye zoezi la uandikishwaji wa wananchi Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Asema Serikali inaiba Uchaguzi Kwa mujibu wa Lema, amedokeza kuwa huenda ACT Wazalendo wanatumika na CCM kufifisha nguvu ya CHADEMA kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Msikilize zaidi hapo chini: Your browser is not able to display this video.
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Nov 13, 2024 #2 kufilisika kisiasa na kiuchmi ni kitu mbaya sana ndrugo zango. hata kwa muonekano tu inaonyesha dah! maisha haya bana dah 🐒
kufilisika kisiasa na kiuchmi ni kitu mbaya sana ndrugo zango. hata kwa muonekano tu inaonyesha dah! maisha haya bana dah 🐒
M Makupa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 6,822 Reaction score 4,034 Nov 13, 2024 #3 Mpuuzi sana huyu Lema ,yeye anashinda kwenye mitandao akitukana 24/7 ,Mangi chama hakijengwi kwa matusi Mangi.
Mpuuzi sana huyu Lema ,yeye anashinda kwenye mitandao akitukana 24/7 ,Mangi chama hakijengwi kwa matusi Mangi.
M Makupa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 6,822 Reaction score 4,034 Nov 13, 2024 #4 Tlaatlaah said: kufilisika kisiasa na kiuchmi ni kitu mbaya sana ndrugo zango. hata kwa muonekano tu inaonyesha dah! maisha haya bana dah 🐒 Click to expand... Na hapo anatunziwa familia
Tlaatlaah said: kufilisika kisiasa na kiuchmi ni kitu mbaya sana ndrugo zango. hata kwa muonekano tu inaonyesha dah! maisha haya bana dah 🐒 Click to expand... Na hapo anatunziwa familia