JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini na ambaye alitajwa kuratibu vuguvugu la Join the Chain, Godbless Lema akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 17, 2025 mkoani Dar es Salaam, kuhusu vuguvugu hilo na tuhuma zilizotolewa na Ezekia Wenje.