JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini na ambaye alitajwa kuratibu vuguvugu la Join the Chain, Godbless Lema akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 17, 2025 mkoani Dar es Salaam, kuhusu vuguvugu hilo na tuhuma zilizotolewa na Ezekia Wenje.

Mbowe naye alikuwa anamwita Magufuli dikteta๐๐๐
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini na ambaye alitajwa kuratibu vuguvugu la Join the Chain, Godbless Lema akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 17, 2025 mkoani Dar es Salaam, kuhusu vuguvugu hilo na tuhuma zilizotolewa na Ezekia Wenje.
Ni mtulivu mno na anajenga hoja kisomi Sanaa ๐Hiki chuma kinatisha, Mugabe kayakanyaga
Wapenda TANGANYIKA/ wapenda mageuzi wa ndani na nje ya Tanzania wapo timu Lisu.Na mimi nilishangaa Mbona Mbowe alikua Dubai, hata siku mama samia anahojiwa BBC alikiri Mbowe alikua nje ya nchi kwa kuhofia kukamatwa!!
Cha ajabu watu wakamshutumu Lissu na Lema kwenda exile. Hawa wafuasi wa Mbowe hawana hoja kabisa hiki chama Mbowe anakiua hivi hivi tukishuhudia kisa tamaa ya madaraka.
Tamaa ya ASALI na ubinafsi uliotopea.Na mimi nilishangaa Mbona Mbowe alikua Dubai, hata siku mama samia anahojiwa BBC alikiri Mbowe alikua nje ya nchi kwa kuhofia kukamatwa!!
Cha ajabu watu wakamshutumu Lissu na Lema kwenda exile. Hawa wafuasi wa Mbowe hawana hoja kabisa hiki chama Mbowe anakiua hivi hivi tukishuhudia kisa tamaa ya madaraka.
Wakati na yeye ni dikteta aliyezuia sumu isionjwe na wenzake, iiih, makubwa !Mbowe naye alikuwa anamwita Magufuli dikteta๐๐๐