Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Godbless Lema amesema kuwa hana taarifa zozote kuhusu Soka, lakini hisia zake zinaonyesha kuwa Soka hayuko hai. Alisema:
"Sina taarifa zozote lakini hisia zangu zina nambia Deus Soka hayuko hai, ni bahati mbaya sana kuwa na hisia hizi, hakuna Serikali inaweza kumshikilia mtuhumiwa mtoto kama yule karibu miezi 4, kwa hisia zangu mimi naona yule kijana ameshauawa sasa ameuawa na Serikali, ameuawa na nani mimi sijui lakini Soka hakukamatwa na majambazi, kwasababu Soka hakuwa bilionea"
Pia, Soma:
- Watu Wasiojulikana: Malisa aelezea tukio la kutekwa kwa Deus Soka na vijana wengine wawili wa CHADEMA
- Tundu Lissu: Rais Samia, Kiongozi wetu Deus Soka Ametekwa, Hajulikani Alipo kwa Wiki Mbili