Godbless Lema kumrithi John Mrema

Godbless Lema kumrithi John Mrema

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Duru ndani ya Kambi ya Lissu zinatabanaisha, ndugu Godbless Lema sasa anaenda ku mrithi John Mrema katika nafasi ya Msemaji wa Chama Taifa (CHADEMA).

"...awali ilikuwa awe SG lakini yeye mwenyewe kagoma. Sasa, Chairman amemlazimisha awe Msemaji wa Chama."

Chanzo.
Mrema alikuwa pia mkurugenzi wa fedha na msemaji

Naona Lema analenga eneo hilo hasa la fedha

Toa mchaga panda mchaga fuko la pesa la Chadema

Ukatibu mkuu hauna pesa kama mkurugenzi wa fedha

Lema anawinda fuko la fedha
 
Hahaaaaa aiseee ,safari ya CDM kumfuata TLP imeanza rasmi.
 
Chadema inakoelekea,Kuna siku watamuomba mbowe agombee Tena Uwenyekiti wa chama hicho
Sio muda mrefu uchaguzi mkuu ukiisha tu matokeo yakitoka Chadema watampiga mateke nje Lisu

Lisu mtihani wake wa kwanza ni kufanikisha uchaguzi mkuu kwa Chadema kuanzia maandalizi teuzi za wagombea,uwezeshaji kifedha uchaguz na kampeni i na logistics zote zihusuzo uchaguzi mkuu

Lisu uwezo hana wa vyote hivyo ukilinganisha na Mbowe

Mbowe akikuwa anamudu vyote hivyo hasa kwenye uchaguzi mkuu
 
Duru ndani ya Kambi ya Lissu zinatabanaisha, ndugu Godbless Lema sasa anaenda ku mrithi John Mrema katika nafasi ya Msemaji wa Chama Taifa (CHADEMA).

"...awali ilikuwa awe SG lakini yeye mwenyewe kagoma. Sasa, Chairman amemlazimisha awe Msemaji wa Chama."

Chanzo.
Sababu ya kugoma ni ipi mkuu?
 
Huwezi kuwa na chama kikubwa kama chadema ukakosa pesa ,acheni kamdomo bado hamjanyooka
 
Mrema alikuwa pia mkurugenzi wa fedha na msemaji

Naona Lema analenga eneo hilo hasa la fedha

Toa mchaga panda mchaga fuko la pesa la Chadema

Ukatibu mkuu hauna pesa kama mkurugenzi wa fedha

Lema anawinda fuko la fedha
Mmeanza sasa!
 
Duru ndani ya Kambi ya Lissu zinatabanaisha, ndugu Godbless Lema sasa anaenda ku mrithi John Mrema katika nafasi ya Msemaji wa Chama Taifa (CHADEMA).

"...awali ilikuwa awe SG lakini yeye mwenyewe kagoma. Sasa, Chairman amemlazimisha awe Msemaji wa Chama."

Chanzo.

Pia soma
- CHADEMA anzisheni nafasi ya Katibu Mwenezi badala ya kurugenzi ambayo ina mzigo wa majukumu ya utawala badala ya kueneza chama (publicity)
lema anatakisa kumrithi MNYIKA, hata mnyika haaminiki. fukuzia mbali kule, wakae pembeni waone namna uongozo wa chama cha upinzani unavyofanywa.
 
Mrema anatakiwa aondolewe akae mbali kabisa, yeye ndiye aliharibu uchaguzi wa nyasa, usiku wa saa sita yupo club anapiga bia na sugu, na alichukua maelekezo ya DJ kwamba ahakikishe msigwa ameshindwa. mrema alikuwa timu mbowe, na timu unyanyasaji. hatakiwi kuwa na cheo chochote zaidi ya uanachama, kama akitaka napo. kama Lema ataweza nafasi yake, poa, ila nafasi ya katibu mkuu pia wanaweza kutafuta mtu mwingine. sugu hata akikosa ubunge mwaka huu itakuwa poa tu, naye hana maana.
 
chama kuongozwa na msomi, mwenye exposure, ambaye pia ni mwanasheria, mtaona utofauti wake na vile kilikuwa kinaendeshwa na mla mabinti wa bawacha, aliyekimbia shule, DJ na anayetokwa mate kila akiona fursa ya pesa.
 
Back
Top Bottom