Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwemo wewe mwenyewe Lema tena upo mstari wa mbele kwa ubayaaa!Wakuu,
Godbless Lema anatema cheche muda huu kuhusu mchakato unaoendelea kwa sasa wa uchaguzi.
Lema anasema kuwa hata upinzani kuna kina Makonda na kina Chalamila sema tu bado hawajapata madaraka.
Mambo yanazdi kuchemka
View attachment 3204339
🤣🤣🤣Akomweeee
Yeye ni mbaya kupitiliza
Tena hapo Makonda anamuonea wivu kwa nyota yake eeee kaliiiiiii
Na bado.. 😅😅😅😅 Wivu wivuuuuuu
Bila kuwa taja haswa Makonda anajua hatoongelewa kwa kuchemsha juzi na tai yake kavaa.. Bado hakuongelewa
Nyota nyota nyotaaaaaa eeeee
Mtasemana sana.Hiyo listi ni ndefu zaidi.Bado tunangoja mlivyomalizana.
Wabaya ni wengi kuliko wema dunia nzima, ndio maana duniani sio mahali salama pa kuishi wapendanao/ watenda haki.Wakuu,
Godbless Lema anatema cheche muda huu kuhusu mchakato unaoendelea kwa sasa wa uchaguzi.
Lema anasema kuwa hata upinzani kuna kina Makonda na kina Chalamila sema tu bado hawajapata madaraka.
Mambo yanazdi kuchemka
View attachment 3204339
Akomweeee
Yeye ni mbaya kupitiliza
Tena hapo Makonda anamuonea wivu kwa nyota yake eeee kaliiiiiii
Na bado.. 😅😅😅😅 Wivu wivuuuuuu
Bila kuwa taja haswa Makonda anajua hatoongelewa kwa kuchemsha juzi na tai yake kavaa.. Bado hakuongelewa
Nyota nyota nyotaaaaaa eeeee
Kwa hiyo watu wabaya SI unit ni hao jamaa waliotajwa?Wakuu,
Godbless Lema anatema cheche muda huu kuhusu mchakato unaoendelea kwa sasa wa uchaguzi.
Lema anasema kuwa hata upinzani kuna kina Makonda na kina Chalamila sema tu bado hawajapata madaraka.
Mambo yanazdi kuchemka
View attachment 3204339
Ukitenda maovu uwe tayari kulipia gharama zake.Kuumbuana live daah siasa hizi
Kabendera si alishamaliza Swala hili?TUNASUBIRI BOMU KUBWA KARIBU LITALIPUKA WALIPO WENJE NA BEN SAANANE NI SUALA LA MUDA TU WATAMTAJA
Watu wa mifumo wana siri nyingi, ngoja Mvua iendelee kunyesha tuone wapi panavujaChalamila ana ubaya gani Tena Jamani?