PreGE2025 Godbless Lema: Lindi mna Waziri Mkuu Mweupe, Maisha yenu magumu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema akiwa Lindi jana Aprili 3, amesema watu wa Lindi wana Waziri Mkuu mzuri, mweupe lakini watu wake wana maisha magumu sana, na kutaka wajue kwanini CHADEMA wanasema kama hakuna mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi watazuia Uchaguzi usifanyike.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Your browser is not able to display this video.
 
Sasa kama kila jambo zuri mnapeleka Dodoma, Arusha, Mwanza... n.k huku Lindi tujikwamue vipi? Barabara hamziboreshi kila huduma ya kijamii haijaboreshwa. Nani atuwezeshe ili tujikwamue kiuchumi!! na mlivyo na akili-bumunda mnatuona sisi kama hatupambani, la hasha we try our best lakini hamtukwamui. #GVT.
 
Lindi sio maskini wanalima mahindi hakuna njaa.
Wanalima korosho,minazi,karanga ufuta.
Wanavua samaki toka bahari ya Indi,
Wana pwani ndefu yenye mchanga mweupe,wana bandari mbili ya Kilwa ya uvuvi na Lindi ya general cargo,wana uwanja wa Ndege.wana Hospital kubwa pale Ndanda Mission.
Wana viwanda vya kubangua korosho.
Wana misitu mikubwa ya kuvuna mbao.
Ndio mkoa unaounganishiwa gesi asilia majumbani.
Hata kiwanda cha kuchakata gesi asilia kitajengwa hapo.
Shule za kumwaga,watu wakarimu.
 
Lema ni Tapeli

Anarudi lini kwa bwanake Kanada anapolelewa na familia na mzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…