Godbless Lema, Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA amesema Mwenyekiti aliyemaliza muda wake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alitaka kugombea Urais 2025
Godbless Lema, Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA amesema Mwenyekiti aliyemaliza muda wake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA), alitaka kugombea Urais 2025
Pamoja na kuwa clip haijafika mwisho lakini jambo moja ni dhahiri.
Mtifuano wote huu ni kuhusu maslahi binafsi ya watu watano na hatma ya maslahi yao ndani ya CHADEMA; sababu zingine zote ni blah blah za kusindikiza lengo halisi la watu hao ambao ni Lissu. Lema, Heche, Msigwa na Mbowe mwenyewe.

Mmmh yaani bado wanaendelea na kampeni za kumnnga Mbowe wakati uchaguzi umeisha,hawa jamaa hawana sera,sera ilikuwa kumuondoa Mbowe basi.Sasa hivi hawajui hata cha kufanya.