Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini amewataka CCM kuachana na kicheko cha kujitekenya badala yake wajikite kwenye hoja.
Amesema propaganda za CCM kuhusu Ugomvi wa Lisu na Mbowe zipuuzwe na kuwataka kufahamu kwamba hii siyo Duniani ya kufundisha wakubwa kugombana.
Lema amesema suala la Lisu kugombea uwenyekiti au kutokugombea lilishapatiwa muafaka na wawili hao so hakuna haja yakuendelea kuliona kama agenda.
Amempongeza Lisu kwa kupiga vita rushwa na kuendeleza mapambano yakuwakataa vibaraka wa CCM wanaonunuliwa kwa fedha .