Godbless Lema: Waziri Simbachawene, 'mortgage plan' kwa wafanyakazi wote wa Serikali ndiyo suluhu ya muda mrefu

Godbless Lema: Waziri Simbachawene, 'mortgage plan' kwa wafanyakazi wote wa Serikali ndiyo suluhu ya muda mrefu

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Ameandika hivi kupitia Twitter:

Waziri Simbachawene, kuwapatia Polisi viwanja vya ujenzi wa nyumba, utekelezaji wake ni mgumu. Muhimu ni kuongeza masilahi bora kwa Polisi na Serikali ije na mortgage plan kwa wafanya kazi wote,ili mtu aamue anataka kuishi/kustaafu wapi. Mortgage plan ya muda mrefu ndio solution

Lema.PNG
 
Anaitwa Nabii Lema mpaka Ndugai anamuogopa
nabii anaweza kuwa mke wa mtu?kaolewa huko halafu anakuja kutoa ushauri kwa wanaume? nafikiri aliandika hiyo twitter akiwa anaosha vyombo au kaukalia kabisa
 
Hapa Lema ana point ya msingi, wajumuishe mpango was Wafanyakazi wote, maana hali zao baada ya kustaafu zinakuwa mbaya sana ukizingatia asili ya kazi zao kuwa Ni za kuhama Hama bila makazi ya kudumu kipindi Chao chote cha kazi.
 
One of the big problems of this country is that, the lntelligent people have only forums to express their views and ideas,whereas the less intelligent, have both, forums as well as power and mandate to implement their ideas even if those ideas are sometimes useless/meaningless

Refer issue ya kutuma ndege Madagascar kufuata kilichoitwa tiba ya covid as example.
 
Back
Top Bottom