usibishe kila kitu ndugu, mambo mengine yapo wazi kabisa - Lema yupo sahihi, utachekwa!!Mtu aliyekimbia deni la milioni 400 Arusha na kwenda kulelewa ulaya hana hadhi ya kuwashauri watanzania.
Mortgage plans zinaendana na vipato, maana ni mikopo ile.Hapa Lema ana point ya msingi, wajumuishe mpango was Wafanyakazi wote, maana hali zao baada ya kustaafu zinakuwa mbaya sana ukizingatia asili ya kazi zao kuwa Ni za kuhama Hama bila makazi ya kudumu kipindi Chao chote cha kazi.
Huu ni upumbavu. Jikite kwenye mada, anachosema kina maana sema kwa sababu ya siasa - unakifanya kuwa cha kitoto. Polisi sio wafanyakazi pekee wa umma. Swala la makazi lilipaswa kuwa la umma wa kitanzania kwa ujumla, katika msingi wa haki za binadamu (kula, kuvaa na kuwa na makazi). Anachokisema Lema ni kuwa swala la makazi ni swala la kila mtu - hata asiye na kazi ya umma.Mtu aliyekimbia deni la milioni 400 Arusha na kwenda kulelewa ulaya hana hadhi ya kuwashauri watanzania.
akili ndogo inakawaida ya kujadili watu, lakini akili kubwa inajadili HOJA sikuzoteMtu aliyekimbia deni la milioni 400 Arusha na kwenda kulelewa ulaya hana hadhi ya kuwashauri watanzania.
Sio ndio maana kawaambia waboreshe masilahi ya wafanyakazi au wewe huelewi?!Mortgage plans zinaendana na vipato, maana ni mikopo ile.
Mtu analipwa LAKI 3 kwa mwezi, pato lake kwa mwaka ni Tsh 3,600,000 na mafao yake baada ya utumishi wa miaka 30 hafikishi 100M.
Sasa hiyo mortgage atailipa na nini ?
Hizo ni theory kutoka Canada, siyo?Ameandika hivi kupitia Twitter:
Waziri Simbachawene, kuwapatia Polisi viwanja vya ujenzi wa nyumba, utekelezaji wake ni mgumu. Muhimu ni kuongeza masilahi bora kwa Polisi na Serikali ije na mortgage plan kwa wafanya kazi wote,ili mtu aamue anataka kuishi/kustaafu wapi. Mortgage plan ya muda mrefu ndio solution
Tumelijua hili siku nyingi ingawa yeye hataki kujieleza kiuwazi. Yaonekana hakuwa tayari kuishi nje ya siasa.Mtu aliyekimbia deni la milioni 400 Arusha na kwenda kulelewa ulaya hana hadhi ya kuwashauri watanzania.
Kwani bombardier zinatoka wapi?Hizo ni theory kutoka Canada, siyo?
Leo hii unaona Lema anaweza kuchangia hoja ya maendeleo. Vile vifungu vya biblia au?usibishe kila kitu ndugu, mambo mengine yapo wazi kabisa - Lema yupo sahihi, utachekwa!!
Unalinganisha technolojia na mawazo ya Lema? Pole!Kwani bombardier zinatoka wapi?
Asante kwa kumuelewa Lema kuliko wenzako. Una kipaji fulani vile!Huu ni upumbavu. Jikite kwenye mada, anachosema kina maana sema kwa sababu ya siasa - unakifanya kuwa cha kitoto. Polisi sio wafanyakazi pekee wa umma. Swala la makazi lilipaswa kuwa la umma wa kitanzania kwa ujumla, katika msingi wa haki za binadamu (kula, kuvaa na kuwa na makazi). Anachokisema Lema ni kuwa swala la makazi ni swala la kila mtu - hata asiye na kazi ya umma.
By the way, hujui hata jografia ndogo tu?? Canada sio sehemu ya Ulaya.
Duu mataga mna shida kweli kweli unawasemea watanzania wote? Huu ni udictetor uchwara.Mtu aliyekimbia deni la milioni 400 Arusha na kwenda kulelewa ulaya hana hadhi ya kuwashauri watanzania.
Ukiwa unapigwa usidhani na wenzio wanafanyiwa hivyo. Hiyo dhambi haitokuacha salamahaiwezekani mwanaume aliyekamilika akaolewa na mwanaume mwenziye kwahiyo yeye anapigwa na mkewe anapigwa na mzungu mwingine aibu
Ningekuwa Moderator hii aina ya post isingekuwa na nafasi kabisa, wala nisingetoa mwanya kwa watu aina yako ku-post uchafu usioweza kuthibitishwa !!nabii anaweza kuwa mke wa mtu?kaolewa huko halafu anakuja kutoa ushauri kwa wanaume? nafikiri aliandika hiyo twitter akiwa anaosha vyombo au kaukalia kabisa
Waziri yuko vizuri kwa hilo ili kuleta heshima kwa jeshi letu la polisi.Ameandika hivi kupitia Twitter:
Waziri Simbachawene, kuwapatia Polisi viwanja vya ujenzi wa nyumba, utekelezaji wake ni mgumu. Muhimu ni kuongeza masilahi bora kwa Polisi na Serikali ije na mortgage plan kwa wafanya kazi wote,ili mtu aamue anataka kuishi/kustaafu wapi. Mortgage plan ya muda mrefu ndio solution
nabii anaweza kuwa mke wa mtu?kaolewa huko halafu anakuja kutoa ushauri kwa wanaume? nafikiri aliandika hiyo twitter akiwa anaosha vyombo au kaukalia kabisa