Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini na ambaye alitajwa kuratibu vuguvugu la Join the Chain, Godbless Lema akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 17, 2025 mkoani Dar es Salaam amezungumza yafuatayo:
"Fikiria anakuja mtu anayetaka kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, Ezekia Wenje huyo maana yake ni kwamba Mwenyekiti akiwa hayupo huyo ndiye anakuwa Mwenyekiti wa chama taifa.
Taswira ya mtu muongomuongo hivi, anayebebwabebwa na watu wengine kama kina Abdul..kimsingi ndiyo maana nilisema hastahili kuwa mwanachama wa chama hiki kama chama hiki kinaamini kwenye maadili na miiko.
"Kwasababu suala la msingi katika nchi siyo chama cha upinzani kushika madaraka, kinashika madaraka na watu wa thamani ya aina gani, kwamba hawa watu wakishika madaraka wanaweza kugeuza fikra za nchi? Kwasababu hata mkishika madaraka na chama cha upinzani, kama fikra zao hazijafanyiwa mageuzi matokeo mtakayopata yanaweza yakawa mabaya kuliko matokeo mnayopata sasa kutoka chama tawala"