Namna ya kukuelewesha ni kukupa mfano hai. Kwa mfano kwenye calculator yako tafuta jibu la 1/3, hata kama simu yako ingeweza kuonyesha tarakimu milioni 1, bado jibu litakua incomplete; na hapo ndipo incompleteness inapoanzia, ila wewe sio kilaza maana ile kuattempt tu kujua ni juhudi kubwa mno umefanya, maana mimi mwenyewe ndio mara ya kwanza nakutana na hii concept katika huu uzi wako, nikazama google kwa kama dk 10 hivi, ndio nimeambulia hicho nilichokupa hapa, ila issue iko very deep, unahitaji several weeks of deep research kuambulia cha maana.