godfrey goliama

Joined
Jan 25, 2013
Posts
11
Reaction score
1
thamani ya mapenzi ya kweli
1)mpenzi wa kweli anakupend kweli
2)yupo tayari kusikiliza baya na zuri
3)mtakuwa wote kwenye shida na raha
4)atakueshimu na atakunyenyekea
5)atakupenda kwa moyo wake wote
6)atakushamini na kukujali
7)mkweli na muazi kwa kila jambo
8)anajiamin kwa kila jambo fulani
9)atakaye kuwa mbunifu wa jambo usika
10)atakuwa na uvumilivu ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…