Godfrey Monyo wa ITV

Jaylee

Member
Joined
Apr 15, 2009
Posts
66
Reaction score
96
Huyu mtangazaji ni mzuri sana lakini dah.. hii sauti yake ya kukwaruza ni shida kwa kweli. Huwa najiuliza kama kuna kitu anatumia kinachosababisha sauti itoke namna ile au ndiyo maumbile yake?

 
Fanya juu chini siku umsikie na kumuona yule ya Kagera!.
 
Simzungumzii Monyo ila Kuna baadhi ya watangazaji nimeshawahi kukaa nao,wanadai ukiwa unatangaza kuna wakati hata sauti haitoki mpaka wenyewe unajishangaa, ila ukitoka pale unaongea kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…