Kuabudia? Ni kanisa gani jipya hilo?Habari zenu wakuu godown linahitajika kwa haraka bei iwe mwisho milion moja (1 million) kwa mwezi na iwe ni maeneo ya KUANZIA NJIA YA SHEKILANGO KUJA MAKUMBUSHO...AU NJIA YA MWENGE....AU NJIA YA KUANZIA UBUNGO KUJA URAFIKI.... NJIA YAKUELEKEA MABIBO kwa mawasiliano piga 0786408577
Eneo ni kwaajili ya kuabudia(KUKUSANYIKA KUMUOMBA MUNGU) asanteni sana
0786408577
Mjini ndio kuna wajinga wengi na wenye pesa aende polini atapataje pesaKama mnataka kuabudu nendeni nje ya jiji kuna maeneo mengi tena mtapewa bure kabisa!
Mlimani city
Ukumbi wa Mlimani city, full AC, parking, security.