😀😀 atheists hakuna ushahidi hiyo imani hakuna ila ushahidi ukiwepo hakuna atakae pinga , hakuna nadharia ya kudumu tuHApa nimekupata mkuu , sasa kama ni hivyo sasa according to abrahamic faith si kiberiti kipo palepale au? 😁
Mimi naamini Mungu na dini pia, sio Agnostic mimi. Tofauti nina fikra huru tu kitu ambacho atheists wanaamini wanacho ila si kweli.Jamaa ni Agnostic yani yeye hana uhakika , yupo katikati.
Ni kama dini kivip?Mkuu unajua atheists ni kama kundi tu la dini ila wanataka kujiona wao ndio wapo sahihi. Hivyo ndio mie nawaona hawa atheists.
Theist.Atheist, Agnostic Theist , wewe upo kundi lipi hapo?
Basi unachanganya kuwa Agnostic tofauti na theist ambao ni upande ulipo, kitu Ambocho kina fanya hoja zako Zionekane katika mfumo wa kipopo , si mnyama wala si ndege .Mimi naamini Mungu na dini pia, sio Agnostic mimi. Tofauti nina fikra huru tu kitu ambacho atheists wanaamini wanacho ila si kweli.
Theist na unaamini dini , ila una uliza maswali ya Agnostic hauna uhakika wa unachokiaminiTheist.
Huyu ni wa kibiriti kwa mujibu wa diniHApa nimekupata mkuu , sasa kama ni hivyo sasa according to abrahamic faith si kiberiti kipo palepale au? 😁
Hizo hekaya za Biblia na Quran ni hadithi uchwara tu. Hakuna chochote cha kujifunza zaidi ya kuaminishana stori zisizo na mantiki.ukiwa unataka kujifunza usizuie watu wakueleze wanavyo juwa hapo utakua huna lengo la kujifunza bali ni kupuuza hoja,wewe sikia tu hata kama hoja sio za dini yako usizibe masikio maarifa hayana mpaka,ukiniletea na wewe za Uislamu inakua poa tu lengo si tunajifunza hatushindani,labda iwe umeleta hoja tushindane ambapo hatutajifunza tutabaki empty head
Negative Proofs: It is generally unreasonable to demand proof of a negative, particularly if there is no evidence to support the positive claim.Hivi kwanini mnatumia kauli ya kwamba "hakuna Mungu" na si kauli ya "hakuna uthibitisho wa kuwepo Mungu"?
hayo mambo ya misamiati tu mkuu,Atheists wanadai hakuna Mungu kitu ambacho hata Agnostics huwa wanawashangaa wamewezaje kujua hilo kwa uhakika?.
Achague upande mmoja tu,Huyu ni wa kibiriti kwa mujibu wa dini
mkuu upo 50/50, sasa kwenye fikra huru mkuu, hizo dini za abrahamic wanakubali fikra huru hapo kwenye mambo ya imani hapo?Mimi naamini Mungu na dini pia, sio Agnostic mimi. Tofauti nina fikra huru tu kitu ambacho atheists wanaamini wanacho ila si kweli.
Theists mnadai kuna Mungu, Kitu ambacho Atheists huwa tunawashangaa, Mmewezaje kujua hilo kwa uhakika?Atheists wanadai hakuna Mungu kitu ambacho hata Agnostics huwa wanawashangaa wamewezaje kujua hilo kwa uhakika?.
Atheists sio kundi la dini.Mkuu unajua atheists ni kama kundi tu la dini ila wanataka kujiona wao ndio wapo sahihi. Hivyo ndio mie nawaona hawa atheists.
Yeye ni Agnostic anesimama kutetea madai ya theist 🤔 kwa mtiririko wa maswali yake anasimama hapa ila kakiri tena ni theist🤔Theists mnadai kuna Mungu, Kitu ambacho Atheists huwa tunawashangaa, Mmewezaje kujua hilo kwa uhakika?
Watu wengi kuamini habari za Mungu ni kwa sababu ya indoctrination tangu utotoni.Sawa tuseme hakuna Mungu
Lakini kwa utahira wa binadamu kwanini inakuwa ngumu kwenye makuzi yake Pasi na kudanganywa anakuwa hayupo sawa
Maana yake kwanini uelekeo wa akili ya binadamu lazima awaze Kuna maisha au mamlaka kubwa kuliko yeye ili awe sawa
Unajua usipowatisha binadamu juu ya uwepo wa mamlaka zaidi ya ufahamu wao wengi Wanakuwa kama matahira
Maana binadamu wanazaliwa na vinasaba vya uovu bila sababu ila ni asili yao
Kuna mtu anaona kula Mtu ni uhalali bila hiyana
Sasa anataka Atheists tuthibitishe hakuna Mungu, wakati wenye madai kwamba kuna Mungu, Hawajatoa uthibitisho.Yeye ni Agnostic anesimama kutetea madai ya theist 🤔 kwa mtiririko wa maswali yake anasimama hapa ila kakiri tena ni theist🤔
usijali ni kawaida ya watu with closed mind ningumu kukuelewa😅Hizo hekaya za Biblia na Quran ni hadithi uchwara tu. Hakuna chochote cha kujifunza zaidi ya kuaminishana stori zisizo na mantiki.
Closed mind ni mtu anayeamini Mungu wa dini yake tu, ndio Mungu wa kweli.usijali ni kawaida ya watu with closed mind ningumu kukuelewa😅
InategemeaAkili zinakua sawa kwa kila mtu au inategemea?