hile sentence inasema hivi, ni kazi kumelewesha closed mind maana hataelewa ,yani yeye sasa akili imefungwa na mila za wazee wako za asili 😂😂😂😂Tatizo ulibishana mpk ukamuunga😂✋we na Imani yako sikuamini
Ata kama ni mpagani SI awe tu peke yake kwani lazima aanzishe Uzi humukumuelimisha mpagani mambo ya Mungu sio kazi ndogo.
infro kwa mujibu wake kasoma seminary, na bado kaona mambo hayaingii , anapambana nanyi mnampa mistari ileile?hile sentence inasema hivi, ni kazi kumelewesha closed mind maana hataelewa ,yani yeye sasa akili imefungwa na mila za wazee wako za asili 😂😂😂😂
Huyo bado anaishi TBT 😂😂✋hile sentence inasema hivi, ni kazi kumelewesha closed mind maana hataelewa ,yani yeye sasa akili imefungwa na mila za wazee wako za asili 😂😂😂😂
infro kwa mujibu wake kasoma seminary, na bado kaona mambo hayaingii , anapambana nanyi mnampa mistari ileile?
Huyo anapingaga kila kitu humu jf ukimfatilia kwa karibuinfro kwa mujibu wake kasoma seminary, na bado kaona mambo hayaingii , anapambana nanyi mnampa mistari ileile?
Huwa mnabaki nazo sasa?Nikionaga izi mada zake siingilii maaana mjadala hauishi ..😂 Kila mtu abaki na imani yake tu anayoamini😹😹
huko huko akae na kuna mfaa, acha sisi tuishi agano jipya🤣🤣🤣Huyo bado anaishi TBT 😂😂✋
Mpagani anayo diniAta kama ni mpagani SI awe tu peke yake kwani lazima aanzishe Uzi humu
Akae agano la kale amekuwa Samson🤣huko huko akae na kuna mfaa, acha sisi tuishi agano jipya🤣🤣🤣
Kila mtu Kuna kitu anaaminiMpagani anayo dini
NdioHuwa mnabaki nazo sasa?
Mimi siamini Mungu shetani wala uchawi .Kila mtu Kuna kitu anaamini
Mnabaki nazo wapi? Walokole mmezagaa kama wehu kupayuka kila kona ya nchiNdio
Mimi muislamuMnabaki nazo wapi? Walokole mmezagaa kama wehu kupayuka kila kona ya nchi
Unasema sheria ni upumbavu, Je unadhani watu kuwa na imani ya Mungu tu, bila sheria ingetosha kudhibiti maovu?Sheria.! Ni upumbavu
Toka kitambo dini na imani za Mungu zilifeli kuwafanya watu wasitende maovu.Sheria haina maana isipokuwa na msimazi
Unaweza ukawa mbwamwitu unatungia sheria kondoo kila siku unawapeleka malishoni wa nakuona mwema ila kila jioni unaomba mmoja wao akakutandikie kitandani na harudi
Leo tuna mifano inaonekana wazi lakini inaonekana kama hadithi za kutunga viongozi wanaotumainiwa kama wasimamizi wa sheria lakini ndio wahujumu washeria
Sheria inakuwa na maana unapokuwa juu yake na siyo chini yake
Sheria ni kama chanting za kiimani kufanya mpumbavu aone yupo salama
Iwe ulaya hata kwa mtogole sheria ni upumbavu
Wakati nipo mdogo sikudhani dini haiepukiki hata ukikataa Mungu bado binadamu watakufundisha kutii Mungu wa mamlaka kwa jina la sheria
Wahalifu wengi ni watu wa dini na imani kwa Mungu. Lakini bado wanatenda maovu.Hakuna kitu kinaitwa sheria nzuri ikiwa anayehukumu ni binadamu
nimecheka sana hii coment🤣🤣🤣Akae agano la kale amekuwa Samson🤣
😂😂😂Si ukweli llkninimecheka sana hii coment🤣🤣🤣
Mungu muweza wa vyote, alishindwaje kuumba binadamu wasio wapagani?kumuelimisha mpagani mambo ya Mungu sio kazi ndogo.
Namaanisha dini imeshindwa sawaUnasema sheria ni upumbavu, Je unadhani watu kuwa na imani ya Mungu tu, bila sheria ingetosha kudhibiti maovu?
Toka kitambo dini na imani za Mungu zilifeli kuwafanya watu wasitende maovu.
Ndio maana zikaanzishwa sheria dhidi ya makosa mbalimbali, mahakama zikaanzishwa, vituo vya polisi vikaanzishwa, mahabusu zikaanzishwa.
Hii yote ni kwa sababu imani kwa Mungu haikuleta matokeo yoyote chanya ya kudhibiti maovu duniani.
Wahalifu wengi ni watu wa dini na imani kwa Mungu. Lakini bado wanatenda maovu.
Bila uwepo wa sheria, unadhani hiyo imani ya Mungu ingetosha kudhibiti maovu ya Dunia?
Wewe angalia kina Kibwetere walivyo choma watu kwenye makanisa.
Angalia yule mchungaji wa Kenya Paul Mackenzie aliyeua maelfu ya watu kwa kuwaambia waumini wake wafunge mpaka kufa wakamwone Yesu.
Angalia waislamu wanaoamini ukiua makafiri unapata thawabu kwa Allah.
Unafikiri bila sheria za kibinadamu, mauaji si yangekuwa mengi sana, kila mmoja akijaribu kumtetea Mungu wa imani yake.
Imani kwa Mungu ndio UPUMBAVU kwa sababu imeleta machafuko, mabishano na mauaji mengi duniani.