Mungu yupo inatosha mwenye upendo na rehema nyingi na sio mwingi wa hasira hata wale wanaomuongelea vibaya juu yake bado anawapenda tuNi kweli kuna miungu mingi mno! Ila Mungu mkuu yupo! Anathibitika kiimani na matendo! Huwezi kumuona wala kuthibitisha kwa utakavyo! Ni ngumu sana kuprove uwepo wa Mungu kwa matakwa binafsi! Utakaa hapo hautopata majibu ya maswali yako kwa karne nyingi sana!
Kama Mungu yupo, kwa nini unahangaika kumtetea yupo?
Huyo Mungu angekuwepo kweli wala kusingekuwa na haja ya kuhoji uwepo wake.
Kila mtu angejua kwa uhakika kabisa Mungu yupo bila utata na utofauti wa kiimani.
Mungu hayupo ndio maana wewe unakazana sana kumtetea aonekane yupo.
Mungu hayupo ndio maana mna amini tu yupo, bila kuwa na uhakika.
Mungu angekuwepo kweli kwa uhakika kabisa, Wala kusingehitajika imani ya kuamini uwepo wake.
Kila mtu angejua kwa uhakika kabisa bila imani, kwamba Mungu yupo.
Kama Mungu yupo, kwa nini unahangaika kumtetea yupo?
Huyo Mungu angekuwepo kweli wala kusingekuwa na haja ya kuhoji uwepo wake.
Kila mtu angejua kwa uhakika kabisa Mungu yupo bila utata na utofauti wa kiimani.
Mungu hayupo ndio maana wewe unakazana sana kumtetea aonekane yupo.
Mungu hayupo ndio maana mna amini tu yupo, bila kuwa na uhakika.
Mungu angekuwepo kweli kwa uhakika kabisa, Wala kusingehitajika imani ya kuamini uwepo wake.
Kila mtu angejua kwa uhakika kabisa bila imani, kwamba Mungu yupo.
Halafu wanafikiri Mungu kaajiri watu wamtete 🤣🤣🤣 kazi zake ndiyo zinajitetea yani ukiona nimeshupalia Mungu yupo sio kwasababu amenilazimisha ni kwasababu nimeona kazi zake nzuri,Mungu hana makosa,sasa hebu jiulize kama wanadamu walimkataa mwana wa Mungu yesu kristo hawakumuamini,walimtesa na kumtemea mate na kumuona muongo ambaye Mungu ndiyo alimtuma aje kutuambia habari njema lakini ilikua ni kazi ya manyanyaso kutukanwa kudhihakiwa je sembuse sisi?Kusema kuamini Mungu yupo ni 'insult to intelligence’ ni kauli nzito sana! Lakini hiyo haikuthibitishii wewe kuwa Mungu hayupo!Wengi mnadai Mungu hana logic lakini hamthibotishi hizo contradiction halisi! Kutokuelewa kitu haimaanishi hakina logic! Na hiyo popularity fallacy, si kila kitu kinachoaminiwa na wengi ni uongo! Lazima uangalie ushahidi na si hoja, haikanushwi kwa sababu ya idadi ya waumini!
Kukubali uwepo wa Mungu si kukosa intelligence, wanasayansi na wanafalsafa wenye akili kubwa sana wameamini Mungu, intelligence haipimwi kw akukatqa au kukubali Mungu yupo bali kwa uwezi wa kuchambua mambo kiimani!
Logic yenyew unayoiongelea haiwezi kuthibitisha au kukanusha kila kitu! Kuna vitu vya metaphysical ambavyo haviitaji reasoning beyond physical science, kusema kila kitu lazima kiwe proven empirically pia ni philosophical assumption!
hakuna matata mkuuNimekupata vyema mkuu. Kila la kheri
Kwa maana hiyo hata Yesu alikuja duniani kufanya nini sasa? Hao watu waliomshuhudia atheists wamechunguza na kusema ni hadithi za kusadikika tu! Sijui hizo hadithi alitunga nani, ili kumfurahisha nani? Basi mtu huyo alikuwa na akili kubwa sana! Beyond human intelligence!Halafu wanafikiri Mungu kaajiri watu wamtete 🤣🤣🤣 kazi zake ndiyo zinajitetea yani ukiona nimeshupalia Mungu yupo sio kwasababu amenilazimisha ni kwasababu nimeona kazi zake nzuri,Mungu hana makosa,sasa hebu jiulize kama wanadamu walimkataa mwana wa Mungu yesu kristo hawakumuamini,walimtesa na kumtemea mate na kumuona muongo ambaye Mungu ndiyo alimtuma aje kutuambia habari njema lakini ilikua ni kazi ya manyanyaso kutukanwa kudhihakiwa je sembuse sisi?
Kama Mungu yupo, kwa nini unahangaika kumtetea yupo?
Huyo Mungu angekuwepo kweli wala kusingekuwa na haja ya kuhoji uwepo wake.
Kila mtu angejua kwa uhakika kabisa Mungu yupo bila utata na utofauti wa kiimani.
Mungu hayupo ndio maana wewe unakazana sana kumtetea aonekane yupo.
Mungu hayupo ndio maana mna amini tu yupo, bila kuwa na uhakika.
Mungu angekuwepo kweli kwa uhakika kabisa, Wala kusingehitajika imani ya kuamini uwepo wake.
Kila mtu angejua kwa uhakika kabisa bila imani, kwamba Mungu yupo.
Kwa maana hiyo hata Yesu alikuja duniani kufanya nini sasa? Hao watu waliomshuhudia atheists wamechunguza na kusema ni hadithi za kusadikika tu! Sijui hizo hadithi alitunga nani, ili kumfurahisha nani? Basi mtu huyo alikuwa na akili kubwa sana! Beyond human intelligence!
Wakae wkaijua tu humani intelligence has limits. If God exists as a transcendent being, its reasonable that His nature would be beyond full human comprehension. Limited understanding doesn’t equal non existence!
hatumtetei Mungu mkuu mbona ipo wazi,kama alimtuma yesu na bado hakumuani sembusi sisi, Mungu anao uwezo wa kujitetea si anakuingiza kwneye mapito makali tu mpaka uanze kumtumikia,soma habari ya YONA aliekataa kufanya kazi ya Mungu akakimbia kilichomkuta mbona alipiga magoti ,Mungu hujiitetea mwenyewe sisi ni upendo uliko ndani yetu tunakusaidiea wewe usipotee kiimini wa kiamini mkuu, au unadhani tunafanya hivi ilini Mungu asijisikie vibaya? lahasha tunakusaidia wewe kuona nuru machoni mwako na sio vinginevyoKama Mungu yupo, kwa nini unahangaika kumtetea yupo?
Huyo Mungu angekuwepo kweli wala kusingekuwa na haja ya kuhoji uwepo wake.
Kila mtu angejua kwa uhakika kabisa Mungu yupo bila utata na utofauti wa kiimani.
Mungu hayupo ndio maana wewe unakazana sana kumtetea aonekane yupo.
Mungu hayupo ndio maana mna amini tu yupo, bila kuwa na uhakika.
Mungu angekuwepo kweli kwa uhakika kabisa, Wala kusingehitajika imani ya kuamini uwepo wake.
Kila mtu angejua kwa uhakika kabisa bila imani, kwamba Mungu yupo.
Nikisema wewe ni "atheist" kwa kutokuamini katika ZEUS nitakuwa nimekosea?Sijaona sababu za kunifanya niamini.
Contradictions halisi hizi hapa, Nakuwekea kabisa.Kusema kuamini Mungu yupo ni 'insult to intelligence’ ni kauli nzito sana! Lakini hiyo haikuthibitishii wewe kuwa Mungu hayupo! Atheist mnadai Mungu hana logic lakini hamthibitishi hizo contradiction halisi!
Hakuna ushahidi wala uthibitisho wa kuwepo Mungu.Kutokuelewa kitu haimaanishi hakina logic! Na hiyo popularity fallacy, si kila kitu kinachoaminiwa na wengi ni uongo! Lazima uangalie ushahidi na si hoja, haikanushwi kwa sababu ya idadi ya waumini!
Kama Mungu yupo kwa nini unahitaji kuamini?Kukubali uwepo wa Mungu si kukosa intelligence, wanasayansi na wanafalsafa wenye akili kubwa sana wameamini Mungu, intelligence haipimwi kwa kukatqa au kukubali Mungu yupo bali kwa uwezi wa kuchambua mambo kiimani!
Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika na kupimika.Logic yenyew unayoiongelea haiwezi kuthibitisha au kukanusha kila kitu! Kuna vitu vya metaphysical ambavyo haviitaji reasoning beyond physical science, kusema kila kitu lazima kiwe proven empirically pia ni philosophical assumption!
Lakini maana ya ujumla si ileileTafsiri ya baadhi ya maneno na jinsi yalivyotafsiriwa kwa kiswahili, ime ondoa ile maana halisi ya neno.
Bro, your brain ain’t the universe’s limit!Contradictions halisi hizi hapa, Nakuwekea kabisa.
Kwanza tuanze na The four Omnis of God.
Omniscient(All knowing God)-Mungu mjuzi wa vyote tangu mwanzo na hata milele.
Omnipotence(All powerful God)-Mungu muweza wa yote.
Omnipresence (Being everywhere at once) - Mungu aliyepo kila mahali kwa wakati wote.
Omnibenevolence(An All loving God)- Mungu mwenye upendo na huruma.
Sasa hizi Four Omnis of God ukizileta kwenye The problem of Evil(Epicurean paradox) Zinatengeneza Contradictions . View attachment 3547475
Mungu muweza wa vyote na mwenye upendo angeweza kuumba Dunia isiyo na uovu, Lakini Dunia yenye uovu ipo, Mungu mwenye upendo na muweza wa vyote hawezi kuwepo kwenye Dunia yenye uovu.
Kwa sababu kama Mungu ni upendo, mabaya yasingekuwepo. Mabaya yapo, Mungu mwenye upendo hawezi kuwepo.
Kama Mungu ni muweza wa vyote, angeweza kuumba Dunia isiyo na mabaya. Dunia yenye mabaya ipo, Kama huyo Mungu ni muweza wa vyote na hapendi mabaya, Sasa alishindwaje kudhibiti mabaya yasiwepo?
Ni either Mungu huyo hawezi yote, ndio maana alishindwa kuumba Dunia isiyo na mabaya au Mungu huyo hayupo ndio maana Dunia ina mabaya.
Kuwepo kwa Mungu mwenye upendo na muweza wa vyote kwenye Dunia yenye mabaya, kuna tengeneza contradictions .
Mungu mjuzi wa vyote tangu mwanzo na hata milele HAHITAJI freewill ili kujua binadamu atachagua kutenda matendo gani. Kwa sababu yeye anajua yote. No need to test.
Uwepo wa freewill kwa Mungu mwenye kujua yote, kuna tengeneza contradictions.
Kwa sababu huyo Mungu kama anajua yote, freewill ni ya nini wakati anajua matendo yote utakayo tenda?
Anaweka freewill kukupima ili agundue nini asichokijua?
Kama freewill ipo basi Mungu hajui yote, ndio maana aliweka freewill ili aweze kujua matendo tutakayo tenda.
Lakini kama Mungu anajua yote, freewill haipo. Kwa sababu Mungu tayari anajua matendo yote tutakayo tenda, right from the beginning.
Kuwepo kwa freewill na Mungu mjuzi wa vyote, kunaleta contradictions.
Sasa kama bado huoni contradictions. Basi imani zenu zimewapumbaza ku ignore logic and reasoning.
Hakuna ushahidi wala uthibitisho wa kuwepo Mungu.
Ni imani tu inayo aminiwa na watu wengi. Ndio inafanya Mungu afosiwe yupo kwa vile majority wanaamini hivyo.
Uthibitisho wa kuwepo Mungu haupo. Watu wanafuata tu mkumbo kuamini Mungu yupo kwa vile majority ya watu wana amini yupo.
Hii ni popularity fallacy.
Kama Mungu yupo kwa nini unahitaji kuamini?
Kama Mungu yupo kwa nini haujui kwa uhakika na uthibitisho kabisa?
Kwa nini unahitaji imani kuamini na si uhakika wa kujua?
Wanasayansi na wanafalsafa wengi kuamini Mungu yupo, HAKUFANYI Mungu huyo awepo kweli. Bado ni imani tu isiyo na uthibitisho.
Kutumia wanasayansi na wanafalsafa walioamini Mungu yupo, kuhitimisha moja kwa moja kwamba kuna Mungu, Ni kufanya logical fallacy inaitwa Celebrity fallacy.
The celebrity fallacy (or appeal to celebrity) is a logical error occurring when a claim is accepted as true simply because a famous and popular person belives and supports it, rather than based on evidence. It is a form of faulty appeal to authority where the celebrity lacks relevant expertise in the subject.
Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika na kupimika.
Vitu vingi havipo physically ila vinaweza kupimika na kufahamika vipo. Vitu kama upepo, joto, baridi n.k
Mungu hayupo kwa namna yoyote ile.
Mungu ni fictional character wa kwenye hekaya za Biblia na Quran na maandiko mengine ya kiimani.
Kama Mungu hahitaji wewe umtetee mbona unahangaika kuandika hapa kumtetea uwepo wake?Mungu hatufanyi watu wake tumtetee ,Mungu hataki atatewe kazi zake zinajitetea zenyewe, hajaniajiri nikiwa duniani niwe mtetezi wake yeye ndiyo mtetezi wangu ,ni ngumu sana kuamini kama hujawahi kutendewa mimi nimemuona Mungu sana nikimuita anakuja sasa kama unatumia nguvu sana kumtafuta katika mambo yako huenda ni imani yako haba
God doesn't exist.Bro, your brain ain’t the universe’s limit!
Just cause you cant compute it doesn’t mean it ain’t real! You hit your mental ceiling and blamed God😶
Limited mind,loud opinion!🫡
Ndio.Lakini maana ya ujumla si ileile
That’s ego talking, not logic..God doesn't exist.
You're just defending a fictional character.
Human intelligence kuwa na limits HAKUFANYI Mungu awepo.Kwa maana hiyo hata Yesu alikuja duniani kufanya nini sasa? Hao watu waliomshuhudia atheists wamechunguza na kusema ni hadithi za kusadikika tu! Sijui hizo hadithi alitunga nani, ili kumfurahisha nani? Basi mtu huyo alikuwa na akili kubwa sana! Beyond human intelligence!
Wakae wkaijua tu humani intelligence has limits. If God exists as a transcendent being, its reasonable that His nature would be beyond full human comprehension. Limited understanding doesn’t equal non existence!
Nimekuwekea logic hapo juu kuonyesha contradictions zilizopo kati ya The four Omnis of God and the Problem of EvilThat’s ego talking, not logic..
Mungu angekuwa anajitetea mwenyewe wala kusingekuwaga na mabishano ya kidini.hatumtetei Mungu mkuu mbona ipo wazi,kama alimtuma yesu na bado hakumuani sembusi sisi, Mungu anao uwezo wa kujitetea si anakuingiza kwneye mapito makali tu mpaka uanze kumtumikia,soma habari ya YONA aliekataa kufanya kazi ya Mungu akakimbia kilichomkuta mbona alipiga magoti ,Mungu hujiitetea mwenyewe sisi ni upendo uliko ndani yetu tunakusaidiea wewe usipotee kiimini wa kiamini mkuu, au unadhani tunafanya hivi ilini Mungu asijisikie vibaya? lahasha tunakusaidia wewe kuona nuru machoni mwako na sio vinginevyo
Mtumishi ata ww ongea na huyu mtu wako😹anasema sio kama nina waaminisha hakuna Mungu halafu chini yake anasema kuna contradictions😂😂😂