Navyojua atheist ni mtu asiye amini Mungu/miungu, mtu huyo ndio anaitwa atheist sasa mimi naamini Mungu hivyo sidhani kama utakuwa sahihi kwa maana ya hilo neno lenyewe.Nikisema wewe ni "atheist" kwa kutokuamini katika ZEUS nitakuwa nimekosea?
Scammer anataka ku scam nini sasa?Imenibidi nicheke unajibu vitu kaama AI, una act non human kabisa😆 sasa huyo si ni scammer jamani🤭
😹😹Sasa mtu asijipromote kwenye Uzi wako kwa amani😂This kind of fallacy is called red herring fallacy.
A red herring fallacy is a diversionary tactic used to shift attention away from the core issue by introducing irrelevant or off-topic information.
The goal is to mislead the audience or avoid answering a difficult question by steering the conversation toward a different, often easier-to-defend topic.
Wewe mocoservices umeleta vitu irrelevant kabisa vilivyo nje ya mada na wala havihusiani kivyovyote vile na hii mada.
Red herring fallacy.
Kwa jinsi huyo Mungu anavyoelezewa ni ngumu kuweza kujua kiuhakika kwamba ni kweli hayupo au yupo na ndio ndio maana imekuwa hoja yenye kuleta ubishani kwa kipindi kirefu sana.Suala hapa ni Mungu si kitu kingine.
Tutajuaje kwamba Mungu hayupo kwa sababu ni kweli hayupo, au Mungu yupo ila tu, umekosekana uthibitisho waku prove kwamba yupo?
Huyo ni kila uzi anapita! Bonyeza link zao uone kazi yake😃Scammer anataka ku scam nini sasa?
Kuna chaku Scam kweli hapa?
😂😂
AI sio kitu chenye utambuzi wa imani za watu.Ai inatambua uwepo wa Mungu ww nani upinge
Hata kukiwepo hizo contradictions bado haitoi hitimisho la kwamba jibu ni kuwa hakuna Mungu na si vinginevyo, kwanini wewe ufikirie hizo contradictions jibu lake ni moja tu la kwamba hakuna Mungu?Watu wanaona contradictions zipo kabisa lakini wanaamua tu kukaza fuvu. Kuendelea kutetea imani zao walizo aminishwa.
Utasemaje kitu kipo, wakati hujui kama kipo?Kwa jinsi huyo Mungu anavyoelezewa ni ngumu kuweza kujua kiuhakika kwamba ni kweli hayupo au yupo na ndio ndio maana imekuwa hoja yenye kuleta ubishani kwa kipindi kirefu sana.
Tutajuaje kwamba hiki hakipo kwasababu ni kweli hakipo au kipo ila umekosekana tu, uthibitisho wa ku prove kipo?Hata kukiwepo hizo contradictions bado haitoi hitimisho la kwamba jibu ni kuwa hakuna Mungu na si vinginevyo, kwanini wewe ufikirie hizo contradictions jibu lake ni moja tu la kwamba hakuna Mungu?
😂😂😂Huyo ni kila uzi anapita! Bonyeza link zao uone kazi yake😃
Ndio maana nikakuuliza wewe unaelewa vp huo msemo wa Mungu wa kweli? Maana kama unasema kuna Miungu mingi, sasa huo ukweli hapo ni ukweli upi?Wapo wengi , so katika uhalisia lazima kutakua yupo aliyesahihi au sivyo?
Ah! Nimefungua hiyo link, nimekuta ni wauza nyapu...😁😹😹Sasa mtu asijipromote kwenye Uzi wako kwa amani😂
Kwahiyo contraditions ndio hutoa jibu la moja kwa moja kuwa hakuna hicho kitu?Tutajuaje kwamba hiki hakipo kwasababu ni kweli hakipo au kipo ila umekosekana tu, uthibitisho wa ku prove kipo?
Utaanzaje kusema kitu kipo, wakati hujui kipoje na ukiulizwa ulijuaje kipo pia hujui?
😹Katupa link kwnye Uzi wakoAh! Nimefungua hiyo link, nimekuta ni wauza nyapu...😁
JF mods wanalala sana hadi links za wauza chini, zinasambazwa JF.
Hii ishu kila mtu ni mteja.😹Katupa link kwnye Uzi wako
Au we mteja nini
(Kidding)😹
Hakuna sehemu nimekwambia contradictions hutoa jibu kwamba hakuna kitu hicho.Kwahiyo contraditions ndio hutoa jibu la moja kwa moja kuwa hakuna hicho kitu?
kwangu mimi huo msemo hauna maana yeyote, tunautumia tu kwa sababu ya kimuktadha,Ndio maana nikakuuliza wewe unaelewa vp huo msemo wa Mungu wa kweli? Maana kama unasema kuna Miungu mingi, sasa huo ukweli hapo ni ukweli upi?
Iko hivi ikiwa wewe una amini katika Mungu mmoja huyo wakwako yaani maanake hapo umechagua kuwa Monotheist, na kwakua umewakataa miungu mingine yote kama Zeus, Jupiter, Thor, El, Baàl, nk. Mpaka hapo wewe tayari ni Atheist wa Asilimia letsay 95.Navyojua atheist ni mtu asiye amini Mungu/miungu, mtu huyo ndio anaitwa atheist sasa mimi naamini Mungu hivyo sidhani kama utakuwa sahihi kwa maana ya hilo neno lenyewe.