Kusema ukweli kwamba mnafundisha vijana wa kiume kujiandaa na show ya Ponografia watakayocheza na bikra 70 iliyoandaliwa na Allah Mungu wa Maadili, inawezaje kuwa Strawman Aurgment?Kwanza, kudai kwamba Uislamu unazungumzia “pono na bikra 72 tu” ni hoja dhaifu sana (strawman argument). Qur'an ina aya zaidi ya 6,000 zinazozungumzia tawhidi, maadili, haki, uchumi, elimu, sayansi ya kutafakari maumbile, na uwajibikaji wa mwanadamu. Kupunguza dini nzima kwenye simulizi moja ni ama ujinga au upotoshaji wa makusudi.
Pili, kusema “Allah hayupo” si hoja ya kisayansi bali ni msimamo wa kifalsafa. Sayansi huchunguza jinsi vitu vinavyofanya kazi, si kwa nini kuna kitu badala ya kutokuwepo kitu. Hata nadharia ya Big Bang haijibu chanzo cha uwepo , inaeleza mwanzo wa upanuzi wa ulimwengu unaoonekana. Swali la chanzo cha sheria za fizikia na uwepo wa kitu badala ya utupu bado lipo.
Unaposema Qur’an haizungumzii Big Bang, hiyo si kweli kabisa. Aya inayosema mbingu na ardhi zilikuwa kitu kimoja kisha zikatenganishwa haidai kuwa ni kitabu cha fizikia, bali ni ishara ya asili ya ulimwengu kuwa na mwanzo mmoja. Hata wanasayansi wakubwa kama Georges Lemaître — aliyependekeza nadharia ya Big Bang alikuwa padre. Hivyo kuamini Mungu na kukubali cosmology ya kisasa si vitu vinavyopingana.
Swali lako “kama Allah ndiye mwanzilishi wa muda na maada, nani aliyemwanzisha Allah?” lina tatizo la kimantiki. Kama muda ulianza na uumbaji, basi kuuliza “kabla ya Mungu” ni sawa na kuuliza “kaskazini mwa North Pole ni wapi?” — ni swali lisilo na muktadha. Kwa ufafanuzi wa kitheolojia, Allah si kiumbe ndani ya muda; Yeye ndiye sababu isiyosababishwa (Necessary Being). Huwezi kumuweka Muumba ndani ya mfumo aliouumba.
Kuhusu utumwa na ukoloni, historia haiko upande wako kama unavyodhani. Nchi zilizofanya biashara ya utumwa kwa kiwango kikubwa zilikuwa za Ulaya za Kikristo kisha zikaja kuzalisha falsafa ya Secular humanism baada ya mapinduzi ya kielimu. Lakini kabla ya hapo, Uislamu uliweka mfumo wa kupunguza na kuondoa utumwa kwa njia ya hatua kwa hatua karne nyingi kabla ya Ulaya kuamka. Leo hakuna mfumo mkamilifu; hata mataifa yanayojitangaza kuwa ya “human rights” bado yana vita, ubaguzi na unyonyaji wa kiuchumi.
Hoja ya msingi hapa ni hii, kutokubaliana na dini hakufanyi dini iwe ya kijinga. Na kuamini sayansi hakumaanishi lazima ukatae uwepo wa Mungu. Sayansi inaeleza mechanism. Dini inaeleza meaning.
Ukosoaji wenye nguvu unahitaji uelewa sahihi wa unachokikosoa. Vinginevyo, kelele zinabaki kelele na si hoja.
Uhakika wa uongo!!Uhakika kimsingi ni hali ya kutokuwa na shaka. Ni hisia inayotokea akilini mwako.
Si lazima uwe ukweli. Unaweza kuwa na uhakika wa uongo, na unaweza kuwa huna uhakika wa jambo ambalo kwa kweli ni la kweli.
Kwa ufupi kabisa: Ukweli ni hali ya kuwa sahihi au kupatana na uhalisi (reality).
Uhakika ni hisia tu za kutokuwa na mashaka, uhakika na ukweli ni vitu viwili tofauti. Mfano watu wengi huwa hatuna mashaka na wale tunaowatambua kuwa ni wazazi wetu ingawa hatujafanya DNA ili kupata ukweli ila huwa tuna uhakika kuwa hawa ndio wazazi wetu, lakini inaweza isiwe kweli.Uhakika wa uongo!!
Hii ndio nimesikia kwako.😂
Utakuwaje na uhakika wa uongo?
Wewe unajichanganya sana. Una mix mafaili.
Sasa mkuu hayo unayouliza na kuelezea ndio huonyesha hivyo vitabu sio maneno ya Mungu au unaonyesha tu migogoro iliyopo kwenye hivyo vitabu?SAsa kama sio 100% navyenyewe vinajinasibu 100% (hata wale wa inspired) si mgogoro huo tayari unaanza
Hao wasioamini mauchawi si watakua wanapingana na vitabu vyenyewe.
concept nzima inaweza kusound bila vitabu ofcourse kama miaka hiyo ya zamani , ila kwasasa kwa declaration ya vitabu inakua ngumu kuviweka mbali na ndo lawama zinapoanzia hapo.
Ndo maana kuna watu wanaswma hii framework yenyewe yote inashida huwezi wapa watu mgogoro wa fikra, alafu wakianguka upande wapili wanaenda kula kiberiti. --- jambo hili bila hata vitabu , ila wakija wenye quatations huwaambii kitu
wadau waliobobea kwenye kupambana na madhaifu ya vitabu wapo wengi tu hata humu jamvini , na huwa hawapewi majibu ya kueleweka mkuu .Sasa mkuu hayo unayouliza na kuelezea ndio huonyesha hivyo vitabu sio maneno ya Mungu au unaonyesha tu migogoro iliyopo kwenye hivyo vitabu?
Mkuu Mungu anaelezwa kwa sifa nyingi tu kwenye hivyo vitabu, shida ya hiyo challange inahusu Mungu mwenye sifa tatu tu(upendo,ujuzi,uwezo wote) ila tofauti na hapo hiyo challange inakuwa haina maana.wadau waliobobea kwenye kupambana na madhaifu ya vitabu wapo wengi tu hata humu jamvini , na huwa hawapewi majibu ya kueleweka mkuu .
hiyo migogoro mara nyingi uenda kuchallenge sifa za muumba , natumai umenipata mkuu.
wewe labda nikuulize swali huo upande uliopo wewe , wa upande wapili ata kama wanania njema wanafika mbinguni?
ni kauli ya kijinga sana,ni uvivu wa kufikiri namna ya kutoka kwenye mkwamo nikisikia mtu kaongea hivyo huwa najua hamna kitu hapoNilipo sikia wana mwachia Mungu yale matukio ya October ndio ni nikajua hakuna kitu kinaendelea tena
framework ya mbinguni ipo complicated mkuu hujo kwenye abrahamic , walio amini wapo sahihi na wasio amini wapo sahihi piaMkuu Mungu anaelezwa kwa sifa nyingi tu kwenye hivyo vitabu, shida ya hiyo challange inahusu Mungu mwenye sifa tatu tu(upendo,ujuzi,uwezo wote) ila tofauti na hapo hiyo challange inakuwa haina maana.
Tatizo wengi humu wanajiingiza kwenye ukanaji Mungu kimkumbo, mtu anatumia nguvu chache mno kufikia hitimisho la kukana kuwepo Mungu ila anaenda kutumia nguvu kubwa katika kupinga kuwepo Mungu.
Wangese Sana Kwa kweli 🙌😄Wakati waongo wanaandika bibilia hawakujua kama kulikuwa na sayari zingine tofauti na Dunia 😂. Teknolojia inawaumbua.
Wao walichokuwa wanakijua ni mbingu (juu mawinguni) na Dunia (nchi) maana vilikuwq vinaonekana.
Ndiyo maana kwenye bibilia sijawahi kukutana na msamiati kama zuhura, zebaki, sumbula n.k.
Nyambafu sana wale wazee walioleta habari mungu.
Hapo Sasa mnachanganya mambo Nyinyi m amzungumzia mungu mwenye hizo nguvu kuwa ni kama kiumbe mean while atheist tuna amini kwamba hiyo nguvu Ina ya support mambo yote duniani na angani ni Nguvu ya asili tu Ipo hapoNguvu ipo tena kubwa sana watu hawajui tu
Muue 🤣So, If God knew right from the beginning that humans would one day sin, Don't you see his work of creation is imperfect?
Why a perfect God creates imperfect humans who can sin?
If there's freewill, why can't you use it to go back in time?
If truly freewill exists, Can you use it to go back in the year 1980?
If everything was created perfectly, Who tempted Satan to Sin?
If God created everything perfectly, What tempted Satan to sin?
Remember that your scriptures say everything was created perfectly.
So my dear dhambi ya adamu na Hawa wewe Ina kuhusu nini !? Unataka kuniambia mfano ikitokea Mjomba wako akavunja Sheria na kufungwa gerezani inapaswa na family yake yote ifungwe !?Vitu vingine majibu yake yameandikwa unapata uvivu gani kusoma maandiko?
Kasome maandiko yana majibu yote haya!
Huyo shetani hakuwa mwanadamu aliumbwa perfectly akaingia tamaa mwenyewe ya kuchukua nafasi ya Mungu! Ndiomaana alitupwa pampja na jeshi lake lote! Akaona haitoshi akawadanganya adam na eve bustanini , matokeo ya hiyo dhambi ya asili ndiyo tunayaishi leo!
Hiyo free will haihusiani na wewe kugeuza mchanga maji! Free will
Ni uwezo wa kuchagua matendo! Sio miujiza ya kuamua ukaishi hewani au baharini, sijui kurudi 80s thats crazy lol
💯🎯The universe has its own nature and everything is a part of it.
There's no other power controlling the universe.
The universe is self-existing and operates by itself.
🤣🤣 Hoja zao still zinaacha sana maswali ambayo majibu yake hawanaKitu kama kiliumbwa perfectly kitaingiaje tamaa?
Kama kitu kimeweza kuingia tamaa Huoni kwamba kiliumbwa imperfect?
😄Ongeeni kiswahili humu
😁ukipigws maswali ya freewill utachomoka?
🤣🤣hahaa nikikuuliza ulipataje majibu utasema ulipata ndoto/maono/ufunuo
Jiulize kwanini matatizo hayaishi maishani mwako...
Twende kwenye mada ya uzi, watu wengi sana wacha Mungu wanakufa bila kujibiwa maombi yao.
Visingizio ni vingi mara Mungu hakupi unachotaka bali unachostahili, mara mipango yake haichunguziki, sasa kwanini aliwaambia muombe naye atawapa?
Ukifikiria unaona haya mambo ni uongo tu.
Thibitishaunafeli wapi mzee,Mungu ndiyo muumba wa dunia na vitu viijazavyo dunia
Mungu muweza wa yote alishindwa Nini kukuumba ukiwa Hauna tamaa !? Huo uweza wake wa yote uko wapi kama alishindwa kukuumba ukiwa Hauna Tamaa !?kwani tamaa ndiyo inatufanya sisi kuonekana tuko imperfect