Ndio mlivyo jaza ujinga huko Kwa kutiwa vitisho , hakuna kwenda kujionea mwenyewe wewe subiri ufe tu ugeuke kuwa Natural resources uwanufaishe viumbe hai watakao kuwa wanaishi katika nyakati hizi mambo mengine ni kudanganyana ๐คฃMuda wetu wa kuishi Duniani ni mdogo sana.
Mauti yapo karibu.
Atakwenda kujionea mwenyewe
Duh ๐๐๐sijaelewa kwanini umelinganisha tamaa na perfect kuwa katika point of reasoning uumbaji
Mungu anasema alimtoa mwanae wa peke katika mwili wa kibanadamu ndiyo mwanae mpendwa ambae ni yesu,alikuja dunia kwa matakwa ya kuukomboa ulimwengu,kumbuka yesu alikua ni Mungu mtu,Mungu alimfanya awe sehemu yetu wanadamu yani kila kitu kama sisi ana hasira kama alivyochukizwa na watu waliofanya biashara hekaluni,anaumia hile mijeredi ilimumiza mbaya kabisa,ana hisia pia kama sisi kipindi cha mateso yesu alilia mpaka machozi ya damu akiomba kikombe hicho kimpite lakini ni Mungu mwana sasa uweje useme kuumbwa ni lazima kuwe na u perfect?
๐๐๐Divine fallacy also known as the argument from incredulity, is a logical fallacy asserting that because a phenomenon is amazing, complex, or difficult to understand, it must be caused by divine intervention or a supernatural force.
It assumes personal lack of understanding equals a divine explanation.
Source: Effectiviology The Divine Fallacy: When People Assume that God Must Be the Explanation โ Effectiviology
๐คฃ๐คฃKusudi la Mungu kumuumba binadamu halikuwa hili! Aliumbwa ili maisha yawe ya kusifu na kuabudu tu, hakukuwa na mipango ya kuishi maisha yamateso ndio maana lilipotolea anguko la mwanadamu, alisema duniani mnayo dhiki jipeni moyo, usijali baada ya msababishi mkuu,muovu ibilisi hukumu itatoka na tutaishi hayo maisha unayotaka tuishi! Kuwa na subira bado kitambo kidogo!
Mungu alitoa laana kwa kizazi chote cha adamu na hawa!So my dear dhambi ya adamu na Hawa wewe Ina kuhusu nini !? Unataka kuniambia mfano ikitokea Mjomba wako akavunja Sheria na kufungwa gerezani inapaswa na family yake yote ifungwe !?
๐จKama ikitokea ndugu wa family ya Mjomba wako nayenyewe ikafungwa kwaajili ya makosa ya Mjomba wako Utaridhika na maamuzi hayo ya kisheria !? Hauoni kwamba waliotoa hiyo hukumu watakuwa wametoa huku Kwa kupitia Sheria kandamizi!??
๐ฑHuyo Mungu wenu mbona ana onekana ana matatizo kichwani !? Kwanini uwahukumu watu wengine Kwa makosa ambayo hawajawahi kuyafanya !? Ina maana basi mungu anashindwa Akili hata na watendaji wa hizi mahakama za serikali ya ccm !!!
๐ฅบHuyo Mungu ni wavisasi hapaswi kuabudiwa
๐๐ Hii reasoning Yako mbona inazidi kumfanya huyo mungu wenu aonekane ni wamchongo zaidi ,Mungu ni mwenye wivu sana kwa kuwa alituumba na kutupa kila kitu kizuri kwanini sasa umjeuke usifuate sheria yake ,sifa na utukufu kwa yote aliyofanya ya uumbaji tunamrudishia yeye,
swali wewe mkeo uliomgharamia kila kitu tusema mlianza mahusino mkiwa chuo ukamlipia ada ukamsomesha yani mkafika hadi kupata watoto na kumpa zawadi ya nyumba magari nk je huyo mke akakuacha akaenda kuchepuka na mwanaume mwingine utajisikiaje au akataka aolewe na mwanaume mwingine ? sasa ndugu maumivu utakayo yasikia ndivyo muumba wetu Mungu wetu atajisikia kuacha njia zake na kumtukuza shetani
Kwanini Atoe laana , Nikigombana na wewe halafu nije kwako na kuwaua watoto wako na ndugu zakoMungu alitoa laana kwa kizazi chote cha adamu na hawa!
๐จ
๐ฑ
๐ฅบ
Nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao bali nawarehemu elfu maelfu wanipendao na kuzishika amri zangu!Kwanini Atoe laana , Nikigombana na wewe halafu nije kwako na kuwaua watoto wako na ndugu zako
Mimi nitakaye fanya hivyo nitakuwa na utimamu wa Akili !?
๐คฃ๐คฃ๐คฃ Hapo hauja mix na maumivu ya wanao pigana vita huko sijui Iran sijui Ukraine!? Na mungu yupo tuIla hapo kwenye mateso blood ni kweli tunateseka daaah
Just imagine hili joto alafu umeme umeisha oaa weeeh so poa ujue
Huyo mwenyewe believer! Mnaongea sana huku nje makanisa na misikiti imejeaa mptuuu ๐ฎ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Hapo hauja mix na maumivu ya wanao pigana vita huko sijui Iran sijui Ukraine!? Na mungu yupo tu
Halafu Hawa believers wake wanatuambia kwamba ana upendo Kwa wote !?
Mungu ni mchongo
My dear , Huyo mungu basi ni wavisasi hata magufuli hafui dafu ,๐คฃ๐คฃNawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao bali nawarehemu elfu maelfu wanipendao na kuzishika amri zangu!
Visasi vipi tuko kipindi cha rehema hakuna anayeteswa na visasi! Kipindi cha sheria kimeshapita, kwahiyo ulitaka tuendeleze agano jioya bila kujifunza agano la kale? Utakavyoamini ni wewe sasa lakini Mungu wetu sio kama unavyomchoresha hapa! Huwezi kumuelewa kama hutaki kumuelewa!My dear , Huyo mungu basi ni wavisasi hata magufuli hafui dafu ,๐คฃ๐คฃ
Kavitesa vitoto gani? Unasambaza chuki pasina sababu!Mungu ana watesa mpaka vitoto vichanga kisa tu bibi zao hao watoto walimuasi ,
Ndio ni wa ajabu, achana naye! Simple..Hayo ya matendo laiti kama yakifanywa na binaadamu mtasema huyo binaadamu ni katili + dictator ila Kwa kuwa ni Mungu ambaye mmemezeshwa kiimani tangu utotoni hamtaki kuadmit kuwa mungu wenu ni waajabu ,
We usituchoshe kasome historia iko wazi bwana! Kila siku tunawaelewesha hamtaki kuelewa! Amini unachoamini mbona sioni waganga na wachawi wakisumbuana na sisi? Always u guys๐๐พMungu muweza wa yote kwanini Aumbe kiumbe kitakacho kuja kumpinga !? My dear unaweza kwenda kuinvest katika project ambayo unajua kuwa itakuja kukupa hasara !?
Ameanza kushtuka ๐คฃ๐คฃHuyo mwenyewe believer! Mnaongea sana huku nje makanisa na misikiti imejeaa mptuuu ๐ฎ
Ameanza kushtuka ๐คฃ๐คฃHuyo mwenyewe believer! Mnaongea sana huku nje makanisa na misikiti imejeaa mptuuu ๐ฎ
Kisukari ๐๐Visasi vipi tuko kipindi cha rehema hakuna anayeteswa na visasi! Kipindi cha sheria kimeshapita, kwahiyo ulitaka tuendeleze agano jioya bila kujifunza agano la kale? Utakavyoamini ni wewe sasa lakini Mungu wetu sio kama unavyomchoresha hapa! Huwezi kumuelewa kama hutaki kumuelewa!
Kavitesa vitoto gani? Unasambaza chuki pasina sababu!
Ndio ni wa ajabu, achana naye! Simple..
We usituchoshe kasome historia iko wazi bwana! Kila siku tunawaelewesha hamtaki kuelewa! Amini unachoamini mbona sioni waganga na wachawi wakisumbuana na sisi? Always u guys๐๐พ
๐๐Hapana mkuu ndo mana mimi napita na wote wawili wote nawafatilia..
Mi stki mauti yanifike alafu nikawa naulizwa kwann ulikua unasapoti mada za ajabu...
Ndo mana nipo nasoma kimya kimya staki kesi ๐๐๐๐๐๐๐
๐คฃMimi nashangaa tu kwa nini mtoa mada ameamua kuongea kiingereza
Ashtuke na yuko kwneye mfungo?Ameanza kushtuka ๐คฃ๐คฃ
Kwahiyo sisi tulioingia mtegoni inatuaffect nini? Huyo raisi wenu anatuzidi wapi zaidi ya utawala wa kushindana na viongozi wakubwa, yani the haves not bana!Yes yamejaa kwasababu dini ni mtego wa wanasiasa ulioundwa kwaajili ya kubrain wash watu ili waweze kutawalika kirahisi ndio maana unaona ccm wanavyo itumia bakwata ku- colonies waislam the same Kwa waumini waimani nyingine, usione sa100 ana battle na RC ukadhani kuwa Hajui anacho kifanya
Nataka nione hiyo effect kwa serikali yetu sio hii nchi za watu! U got anything to lose??Serikali zote duniani zinajua kwamba dini ni scum ni mtaji tu wa kuwatumia watu kama ilivyo siasa na michezo mingine mbali mbali like football,
How?Kilichopo tu ni kwamba Hiyo nguvu ya ku- Battle na dini inaweza ikakushinda kwasababu sehemu kubwa ya jamii imesha geuza Hilo suala kuwa way of there living,
Watazoea tu zamani waliishijeNi sawa sawa Leo makampuni ya Simu yote duniani yaache kutengeneza Simu na Simu zizuiwe kutumika Maisha ya binaadamu lazima yata collapse cause ni mfumo ambao umeshaingia katika maisha Yao
Ni kushangaa jinsi gani kundi kubwa halijajitambua ila nyie wachache mna Iq kubwa dunia nzima๐ฑSo wingi wa makanisa na misikiti usikutishe na kukufanya uamini kuwa hicho kitu ni chakweli au ni sahihi
๐คญAdolf Hitler anasema siku zote Nguvu ya propaganda ikitumika vyema basi uongo hugeuka kuwa ukweli
Sawa sawaSo hizo dini Tayari zimesha undiwa na sera na Sheria katika mataifa duniani, kitu chochote kikisha undiwa sera na sheria basi lazima kisambae Kwa Kasi
Mkuu wenye kuamini kila siku wanaelezewa ila wasioamini huwa hawajui kuwa huko nako kuna kufuata mkumbo, wengi wanadhani kutokuamini Mungu kiujumla ni jambo la watu wenye uelewa mpana wa mambo, watu wenye fikra huru sana na kibaya wanaenda kuifanya sayansi kuwa ndio kama dini kwao ambapo wanazua tatizo lengine la kuwafanya kupinga kila kitu ambacho et hakina ushahidi wa kisayansi.framework ya mbinguni ipo complicated mkuu hujo kwenye abrahamic , walio amini wapo sahihi na wasio amini wapo sahihi pia
Mbona mkumbo wa kwenye kuamini huuongelei unakomaa tu kwa wasio amini.
mtu toka utotoni anaingizwa kanisani au msikitini (na hizi pande zote kila mtu anasema mwenzake anaenda kula kiberiti) --- wewe kama hadi hapa huoni shida ni wewe mkuu,
Huyo mtoto hata kama wazazi wake hawajali hii system ya shule sehemu nyingi dini ni kama mandatory , kama huna upande chukua upande ratiba za shule ziendelee
Kuona waliokataa tu ndo wanakataa kwa mkumbo hapa huwezi kua sahihi, humo makanisani au misikitini mbona wengi tu wanaenda kama desturi tu.
kila mtu anajua sababu zake zilizomfikisha conclusion aliyofikia, hizi discussion ninkuchangamsha genge tu,
kwahiyo atakula kiberiti au lah?Huyo mwenyewe believer! Mnaongea sana huku nje makanisa na misikiti imejeaa mptuuu ๐ฎ
Nani sasa?kwahiyo atakula kiberiti au lah?