God's time is a myth, The strategy of redundancy

Najiuliza tu hawa non believers wasio na elimu yoyote wana defend vipi point zaoπŸ€”
 
Upo biased sana, mkuu wasio amini ambao wewe unawaona kama wanajifanya wanaakili sana hiyo ni "subjective" kuna mikoa ukiingia watu hata hawana habari kama kuna kwaresma wala ramadhani na mwaka huu zote zipo kwa pamoja na ni watu wasio na elimu yoyote ya kueleweka.


ike documentary nimekutajia siku ile umeicheki?

Mimi nakugusia hapa kwamba framework ys kwenda mbinguni ni ngumu.

na kuuliza kwa mara ya pili , naamini we muumini wa abrahamic dini moja wapo, watu tofauti na wewe (kidini) wawe wema na wachamungu kuliko wewe na wamesikia habari za dini yako ila wameendelea na dini yao kicha ya nia njema yao, kwa mujibu wa dini yako hawaendi kula kiberiti?
 
Hao believers ambao mtandaoni wanaingiza wenzao chaka , kwa mujibu wako
Huyo hakumuelewa poor brain, alichanganywa tu na atheists ila hakuongea negativity yoyote! Na hata kama akikosea kutubu kupo! Akishupaza shingo lazima ivunjikeπŸ€—
 
Huyo hakumuelewa poor brain, alichanganywa tu na atheists ila hakuongea negativity yoyote! Na hata kama akikosea kutubu kupo! Akishupaza shingo lazima ivunjikeπŸ€—
Okay,

kwahiyo akitubu hata kama kuna watu aliwazamisha, wake watu kiberiti yeye safi?
 
Anastaajabisha na kusikitisha sana

'hapo mwanzo Mtu aliumba Mungu kwa mfano wake'
 
Okay,

kwahiyo akitubu hata kama kuna watu aliwazamisha, wake watu kiberiti yeye safi?
Ndio kwa kumaanisha Mungu atamfungua tu, na hao wengine wataipata njia kwa namna tofauti tofauti tu.. lakini kama ni kwa majaribio sahau!
 
Ndio kwa kumaanisha Mungu atamfungua tu, na hao wengine wataipata njia kwa namna tofauti tofauti tu.. lakini kama ni kwa majaribio sahau!
Sawa mkuu
 
Wewe msimamo wako ni upi? Au unachoamini wewe ni kipi? Mimi nishasema naamini Mungu,dini, na vitabu vya dini. Kwa sababu naona kutwa unazungumzia kibiriti tu.
 
yani nimekusikia maoni yako



🀣 tuishie hapa mkuu
Kwahiyo mkuu wewe hautaki kujulikana msimamo wako ni upi ila unataka kukosoa vitabu vya dini na imani ya Mungu?

Usiogope kueleza msimamo wako mkuu.
 
Reactions: Lax
Kwahiyo mkuu wewe hautaki kujulikana msimamo wako ni upi ila unataka kukosoa vitabu vya dini na imani ya Mungu?

Usiogope kueleza msimamo wako mkuu.
MKuu , hata wewe sijataka kukuuliza upo pande , zaidi ya kupitia majadiliano nimebaini upo katika moja ya abrahamic,

Mimi nipo pande gani hilo swali siwezi jibu maana hua naona ni kitu binafsi sana, na infact haina maana yeyote ile kuweka wazi

Huwezi kusema naogopa kueleza msimamo wangu upo wapi na wakati huohuo unasema nataka kukosoa vitabu vya dini na kukataa imani ya mungu.

Kama kumbukumbu zangu zuko sawa kwenye uzi huu nilikua najaribu kukusaidia kuelewa hoja za atheists ni zipi na tukaendelea kwenye mjadala wa hapa na pale kwa sababu umesema na wewe japo ni muumini ila ni mdau wa fikra huru


kUotea upande hata wewe nawsza sema nimeshaotea upo upande gani (na naweza nikawa nimekosea pia)

Sasa huku mwisho nimeona kama umeanza kukataa mifano ya kufikirika, sasa mjadala si unakua umeisha automatically mkuu
 
Mifano ipi hiyo ya kufikirika ambayo nimeikataa?

Sema mkuu nitarudia kusema kwamba kukosoa tu wengine hakukufanya wewe kuwa sahihi. Ni msemo tu.
 
Reactions: Lax
Mifano ipi hiyo ya kufikirika ambayo nimeikataa?

Sema mkuu nitarudia kusema kwamba kukosoa tu wengine hakukufanya wewe kuwa sahihi. Ni msemo tu.

Hizo credit nazikataa mkuu,

Sipambanii kua sahihi,

Nimekuuliza
 
Ndio mlivyo jaza ujinga huko Kwa kutiwa vitisho , hakuna kwenda kujionea mwenyewe wewe subiri ufe tu ugeuke kuwa Natural resources uwanufaishe viumbe hai watakao kuwa wanaishi katika nyakati hizi mambo mengine ni kudanganyana 🀣
natural resources Dunia ya baba Yako hii?
Yaani uletwe Duniani alafu uachwe hivi hivi.
Mwenye mwili wake yupo acha kujidanganya
 

bado upo na hii mada hearly 😜 sawa mkuu we zijibu tu ingawa tulishapita huku na tukakubaliana Mungu Mwenyezi ndiyo Mungu baba awezae yote hakuna linalomshinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…