Ni kama wewe umeumbwa lakini unaamua kukashfu! Everything is possible and anything can happen!Kitu kama kiliumbwa perfectly kitaingiaje tamaa?
Kama kitu kimeweza kuingia tamaa Huoni kwamba kiliumbwa imperfect?
If you are free to choose right or wrong, Kwa nini huyo Mungu anapenda kufanyiwa mema tu?Free will exists, but to choose what is right or wrong lol not in that term..
Sio lazima nijibu mnavyotaka!ukipigws maswali ya freewill utachomoka?
Nimekupata vyema sana mkuuSio lazima nijibu mnavyotaka!
Mimi sijaumbwa.Ni kama wewe umeumbwa lakini unaamua kukashfu! Everything is possible and anything can happen!
You just can't prove it!The universe has its own nature and everything is a part of it.
There's no other power controlling the universe.
The universe is self-existing and operates by itself.
Mungu aliumba kila kitu perfectly kama unavyowaza! Anguko la mwanadamu ndio hiyo dhambi ya asili, nimekuelezea kila kitu kilivurugika wapiIf you are free to choose right or wrong, Kwa nini huyo Mungu anapenda kufanyiwa mema tu?
Kwa nini huyo Mungu hapendi watu wafanye mabaya?
Kama huyo Mungu hapendi mabaya yafanyike, Kwa nini aliweka hiyo "free will" ya mtu kuweza kutenda mabaya?
Kama huyo Mungu anapenda mema tu, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu, watakao tenda mema siku zote na wakati wote?
Umejuaje mama yako alikuzaa? Umesoma au umeona? Umesimliwa au kwa sababu umeshuhudia wengine wamezaliwa na mama zao?Mimi sijaumbwa.
Mimi nimezaliwa.
Mama yangu alinizaa.
Hakuna Mungu aliyeniumba.
Nakuuliza hivi,👇
Kitu kilichoumbwa perfect kitaingiaje tamaa?
Kama kitu kinaweza kuingia tamaa huoni kwamba kiliumbwa imperfect?
The universe exists and it's where you live.You just can't prove it!
Iliniponya,ilizungumza ndani yangu! Niliomba ikanijibu! Kila nilichoomba ilinipa majibu! Nikiamuru kitu inaitika!Hiyo nguvu ilikufanya nini?
Wanawake huzaa watoto.Umejuaje mama yako alikuzaa?
Nimeona watoto wakizaliwa.Umesoma au umeona? Umesimliwa au kwa sababu umeshuhudia wengine wamezaliwa na mama zao?
Binadamu wanazaliwa na hiyo ni Fact.Acha kutumia logic kwenye mambo ya imani, usilinganishe theology na philosophy!
Kwa maana hiyo mwanadamu wa kwanza alikuwa ni nani? Na alizaliwa na nani?Wanawake huzaa watoto.
Hii ni fact.
Na mimi Mama yangu ni mwanamke alinizaa.
Nimeona watoto wakizaliwa.
Nimeona wa mama wakizaa.
Sijawahi kuona Mungu akiumba Binadamu.
Binadamu wanazaliwa na hiyo ni Fact.
Mungu alikuumba boss maana neno lake linasema nalikujua tangu upo tumboni mwa mama yako kwahiyo uumbaji wako Mungu aliujua ,pia kuna neno linasema nilikumba kwa mfano wangu yani wewe ni mfano wa MunguMimi sijaumbwa.
Mimi nimezaliwa.
Mama yangu alinizaa.
Hakuna Mungu aliyeniumba.
Nakuuliza hivi,👇
Kitu kilichoumbwa perfect kitaingiaje tamaa?
Kama kitu kinaweza kuingia tamaa huoni kwamba kiliumbwa imperfect?
hahaa nikikuuliza ulipataje majibu utasema ulipata ndoto/maono/ufunuoIliniponya,ilizungumza ndani yangu! Niliomba ikanijibu! Kila nilichoomba ilinipa majibu! Nikiamuru kitu inaitika!
Huyo Mungu angekuwa ameumba kila kitu perfectly, Anguko la mwanadamu lisingewezekana kutokea kwa sababu kila kitu kingekuwa perfectly mwanzo mwisho.Mungu aliumba kila kitu perfectly kama unavyowaza! Anguko la mwanadamu ndio hiyo dhambi ya asili, nimekuelezea kila kitu kilivurugika wapi
Huyo Mungu angekuwa ameumba kila kitu perfectly, mabaya yasinge kuwepo duniani. Kwa sababu kila kitu kingekuwa perfectly kabisa.Mungu wetu ni Mungu mwenye wivu! Wanaofanya mambo kinyume na mapenzi yake lazima watalipwa kwa mabaya yao! Mungu aliweka nafasi za kutubu akijua hakuna mkamilifu mbele zake! Ndio maana kuna kuomba rehema na ukaendelea kuishi kwa kumtegemea yeye!
The universe has its own nature and everything is a part of it.
There's no other power controlling the universe.
The universe is self-existing and operates by itself.
Kitu kama kiliumbwa perfectly kitaingiaje tamaa?
Kama kitu kimeweza kuingia tamaa Huoni kwamba kiliumbwa imperfect?
Mungu hayupo.Mungu alikuumba boss maana neno lake linasema nalikujua tangu upo tumboni mwa mama yako kwahiyo uumbaji wako Mungu aliujua ,pia kuna neno linasema nilikumba kwa mfano wangu yani wewe ni mfano wa Mungu