mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Yaani mkuu sijui kwanini hunielewi, natamani ungekuwa hapa karibu nikufinye!!!Kusudi la Mungu kumuumba binadamu halikuwa hili! Aliumbwa ili maisha yawe ya kusifu na kuabudu tu, hakukuwa na mipango ya kuishi maisha yamateso ndio maana lilipotolea anguko la mwanadamu, alisema duniani mnayo dhiki jipeni moyo, usijali baada ya msababishi mkuu,muovu ibilisi hukumu itatoka na tutaishi hayo maisha unayotaka tuishi! Kuwa na subira bado kitambo kidogo!
I am with you on this one.The only time that matters is the time you have in your hands.
Godβs time is an illusion.
Waiting for Godβs time is an all-time scam.
Usiwe na hasira ningekuwa hapo ungenikata ngwara kabisaπmkuu sijui kwanini hunielewi, natamani ungekuwa hapa karibu nikufinye!!!
Hilo anguko liliruhusiwa na Mungu, hakuwa haja ya kuliruhusu.
Mungu ni mwenye wivu sana kwa kuwa alituumba na kutupa kila kitu kizuri kwanini sasa umjeuke usifuate sheria yake ,sifa na utukufu kwa yote aliyofanya ya uumbaji tunamrudishia yeye,Huyo Mungu akiaminiwa yupo, anafaidika nini?
Huyo Mungu asipoaminiwa yupo, anapungukiwa nini?
Huyo Mungu yupo so insecure hadi anahitaji kuaminiwa?
Kwa hiyo unamwamini Yesu kwa vile tu majority wanamwamini.hata wahindi wana miungu yao sasa siwezi kuegemea kwenye kujadili sana miungu mingine najadili eneo ambalo majority tunaamini hivyo siwezi kujadili miungu mingine hata weww unaweza kuwa na miungu yako lakini yesu ni wanagapi wanamjua?.
hatuwezi jadili jambo bila ushahidi sasa nashindwa kukulewa kwanini unanibana nisiweke citationsWewe unaleta hadithi za Biblia halafu unasema ndio reference!
Huna tofauti na mwislamu anayeleta Quran, kama reference.
Huna tofauti na myahudi anayeleta Torah, kama reference.
Huna tofauti na mhindu anayeleya The Vedas, kama reference.
Hii ni Circular reasoning fallacy.
Mwislamu akitumia Quran kama reference yake ya kukwambia wewe mkristo kwamba Allah ndiye Mungu wa kweli na sio Yesu utakubali?hatuwezi jadili jambo bila ushahidi sasa nashindwa kukulewa kwanini unanibana nisiweke citations
Tutaendelea mkuu acha nilale zangu.Usiwe na hasira ningekuwa hapo ungenikata ngwara kabisaπ
Alimuumba malaika mkuu akampa sifa zote! Lucifer aliumbwa kwa moto na dhahabu! Alikuwa anaimba sauti zaidi ya 100, alikuwa na uwezo wa kufanya mambo mengi sana akiaminika na Mungu, mwishowe akaingia tamaa hapo kipi kigeni?
Tumeshamalizana! Usiku mwema!Tutaendelea mkuu acha nilale zangu.
Kwa hiyo Mungu wenu anapenda sifa kama wahaya kina nshomile wa Bukoba?Mungu wetu anapenda sifa! Anapenda kuabudiwa na kusujudiwa! Lazima tutii maagizo! Lazima tukubali kuwa chini ya uwepo wake! Hatuwezi kujikweza na kujihesabia haki kama unavyotaka wewe!
Wewe ukimwambia mkeo usiende kwa majirani,usifanye kazi au usitoke nje unafaidika nini?
Alaaaaah hawa bila fimbo watatupanda kichwani...Ongeeni kiswahili humu
Sio sifa za kishamba hizo sasaπ€£πKwa hiyo Mungu wenu anapenda sifa kama wahaya kina nshomile wa Bukoba?
Mbona secretarybird haongei kiingerezaAlaaaaah hawa bila fimbo watatupanda kichwani...
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Hajui kiingereza huyo ndege akili yote ipo kichwa cha chiniπMbona secretarybird haongei kiingereza
Ila we jamaa wewe π€£π€£π€£πππMuda wetu wa kuishi Duniani ni mdogo sana.
Mauti yapo karibu.
Atakwenda kujionea mwenyewe
Huyo Mungu mpenda sifa na kusifiwa ni Mhaya.Sio sifa za kishamba hizo sasaπ€£π
Hana dini wala kabilaHuyo Mungu mpenda sifa na kusifiwa ni Mhaya.
La haula secretarybirdHajui kiingereza huyo ndege akili yote ipo kichwa cha chiniπ
Hawa majaa wapo hapa kutuchanganya tu... π€£π€£π€£π€£π€£ππMbona secretarybird haongei kiingereza
Na tutawatisha mpaka muhame huko kusikojulikana!Hawa majaa wapo hapa kutuchanganya tu... π€£π€£π€£π€£π€£ππ
Kuna mmoja kasema kama uamini Mungu hayupo basi mauti anakuja utajionea π€£π€£π€£π€£ full kutishana